Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,894
- 1,485
WaalimNo madaraja
No increments
No uhamisho
Ila .
Mfaulishe kwa zaid ya asilimia 90.
Mdhibiti utoro kwa asilimia 95.
Mkuze nidhamu kwa asilimia 95.
Pia.
Muandae notsi kwa asilimia 99
Muandae Lesson Plan kwa asilimia 100.
Muandae zana za kufundishia kwa asilimia 80.
Zingatia.
Kuwahi kazini saa kabla ya 1:30 asubuhi.
Mkae kituo cha kazi mpaka mwisho usitoroke.
Toa kazi kwa asilimia 100
Sahihi kazi zote kwa asilimia 100.
Msisahau .
T.O.D hakikisha umejaza kitabu cha Zamu.
Hakikisha shule safi.
Hakikisha hakuna anaetoroka.
Hakikisha unatoa adhabu kwa watoro na watukutu wote.
Kumbuka.
Bakola hata moja mtoto akizimia ,kuumia ama kufa utawajibishwa ipasavyo na jamhuri na wananchi watashangilia kuona unawajibishwa.
.walimu peponi panawahusu.
🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan uwaalimu ni kazi yenye watu wasio jithamini wenyewe ,serkali haiwathamini, kazi kuwapangia majukumu mengi yaani mwalimu ni muhusibu wa shule,ni mshauri wa wanafunzi, yeye mwenyewe afundishe darasan, aandae lesson plan kwa kila darasa, aandae scheme of work, aakikishe eneo LA shule safi, yan vitu ving, Mshahara kiduchu, hakuna posho, karbia kijimshahara kidogo chote kinaishia kukatwa kodi, hakuna mshahara kupanda 4yrs nw, no kupanda daraja , KWELI PEPONI WALIMU WOTE WATAEENDA.
Lisilo na manufaa kwa mwalimu husikaLakini ndo hawa hawa wanamiliki Gholofa pale Ilala Boma
Siyakudumisa Thixo
Baada ya matokeo ya NECTA ndo huanza kumtafuta mchawiWalimu hamuwajui,
Ndo maana shule inawanafunz 300
Lkn utashangaa wanaofaulu kwenda advance na vyuoni n hawazid hata 50
Sasa unaona jins wanayoafanya hayaonekan kirahis ila utaskia watu kulalamikia shule za umma tu.
Lkn pia walim wengi n watu ambao hata background yao n familia zisizo na vipato vikubwa sana, so hawawez kugoma wakat hata hicho kidogo kinaweza kuwakidh japo kwa shida....
Sent using Jamii Forums mobile app