chief mtwe
Member
- Dec 10, 2013
- 95
- 11
Hivi kwa nini ndugu zangu walimu wamekuwa na kuherehere cha ajira ...yaani humu JF kila kona ni story za ajira ya walimu , mara huyu oooooh ajira mwezi Jan , mwingine Feb, mwingine eti oooh walimu wa Arts hawaajiri.... Ukichunguza vzr post zote watu wanakuwa wanahisi tuu na wengine ni Ku draw attention za hawa walimu wasubiri ajira....
Ushauri Kwa hawa walimu ni kuwa watulie ajira zipo watulie wakati wake ukifika mtajuzwa.. Jishughulishe na kazi zingine zinazoweza kukupa kipato kwa sasa....
Ask me how u can earn 1,200,000/= and more with capital of 255600/= TSH in three months....... ni PM