Walimu mwenye PDF ya mtokeo ya written interview ya Kiingereza

Walimu mwenye PDF ya mtokeo ya written interview ya Kiingereza

Si ulikuwa unalialia asubuh mpk uksema bora ujinyonge.
Naona sasa umepata kijiaidia kdg ndo una furah
kuna mchongo tu kuna mwanang alinambh tokea wik iliyopta leo nmekta nae mpran ndo tulikua tunayajenga vzr
 
mkuu mbna comment zako zinaonesha nikama kjana wa ovyo jieshm basi, wap me nimesema nalima vbarua.
Yeah mi ni kijana wa ovyo,kuhusu kujiheshimu najiheshimu ila sio sana
Kuhusu ww kulima vibarua nimemaanisha endelea na shughuli zako.
 
Yeah mi ni kijana wa ovyo,kuhusu kujiheshimu najiheshimu ila sio sana
Kuhusu ww kulima vibarua nimemaanisha endelea na shughuli zako.
sawa upo sahihi ila njia uliotumia kwamba nilimevbarua nikama umenidharau mkuu au umenirushia kijembe wakt wew na mim hatujuan. kuna mda jtahd kutmia lugha ambayo hamkwaz mngne.
 
Back
Top Bottom