Walimu ni watu muhimu lakini umuhimu wao unazidi kupotea siku hadi siku. Kwani wamekuwa ni daraja la wanasiasa pindi wanapotafuta maslahi yao.
Ikumbukwe kwamba waalim ni watu muhimu katika usimamizi wa uchaguzi na wamekuwa wakifanya mambo ya ajabu ya wizi wa kura kipindi cha uchaguzi.
Mfano uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita baada ya mda kupiga kura waalimu walijifungia ndani na kuanza kupiga kura hewa kwa ajili kuwasaidia waliotakiwa kushinda washinde.
Hii ni baada ya kuahidiwa pesa kidogo 80000. Walimu wameuza utu wao na pia wamewauza watanzania kwa kuwapatia viongoxi ambao hawakutakiwa.
Viongozi serikalini wamekuwa wakifanya mambo ya ovyo serikalini wizi usiomithirika kwa kuwategeme waalimu wataiba kura.
Waalimu mnakwama wapi? Juzi deni la Taifa limefikia tirioni 97.ambapo katika hizo bilioni karibia 867 matumizi yake hayajulikani yalipo.
Watu wameiba karibia trilioni moja ambayo hata ingesaidia kuwapa posho ya 50,000 kila mwezi kama transport allowance.
Yote hayo hamyaoni, nyie ndio daraja kuzuia na kudhibiti wizi wa kura ili tupate viongozi wazuri lakini nyie mmekuwa viziwi.
Hamsikii la mtu wakati viongozi wakiendelea kutuibia pesa za walala hoi waalimu hamkeni