Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,871
Huyo ticha nimempenda bure na ingependeza zaidi kama kungekuwa na ziro kadhaa mbele ya hiyo 25K. Pole mkuu πππKuna mwalimu kanitapel 25k yangu hafu ni mwalimu wa taaluma yule mshenzi.
Mwajiri wa mwalimu sio katibu mkuu ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri. Hujui kitu Kaa kimya, hapa sijasema ana mamlaka ya kwenda ATM Kwa kadi yako kuchota mshahara NO nimesema ana uwezo wa kuenforce Kwa njia yoyote ulipe hilo deni. Madeni madogo madogo ya mitaani kama kukopa sabuni, chumvi, mafuta ya taa, dagaa na sukari yanalipika bila kusubiri mshahara hivyo uwezo wa kulipa hata kwa kuuza kuku au bati za nyumba iliyokushinda kumalizia upoZaidi ya kutoa onyo, mkuu hana access kwenye mshahara wa mualimu wote muaajiri wao ni katibu mkuu, ila anauwezo wakuandika barua kupendekeza uhamishwe shule nyingine.
πππHuyo ticha nimempenda bure na ingependeza zaidi kama kungekuwa na ziro kadhaa mbele ya hiyo 25K. Pole mkuu πππ
Mengi yapi? Mtu mwenye ajira anapitoa mengi, wasiokua nayo?Walimu tuwapumzishe Kwa kweli wanapitia Mengi,mno.
Maisha hayako hiyo.Ili mtu aweze kukopa dukani kwako ni vizuri awe ameshajenga trust isiyopungua miezi sita awe na contribution katika duka lako na unabidi kuwa na mtaji mkubwa au size ya Kati ili kuwawezesha wakopaji kukopa na watu wa cash kununua tofauti na hapo unatafuta lawama na kufunga duka lako
Ujinga tu mbona hujaja kutushaurisha wakati hujawakopesha?? au lengo unataka tujuwe umeanzisha duka.Hapa eneo ninapoish nimefungua kiduka cha wastani tu. Kwakuwa mimi ni mtu wa misafara mara kilwa mara Zenji nikirud safari zangu huwa nakagua biashara au madeni.
Sasa cha ajabu kuna walimu wa shule wawili magumu kulipa madeni, pia kuna walimu wa madrasa hawa wa madrasa wakikopa tena hurudisha haraka sana wakati hawana hata mshahara maalum.
Hawa walimu wa shule wanalipwa halafu wagumu kulipa deni kuna mmoja mpaka nimemsamehe nilikuwa namdai 45,000 ila hawa wawili sitaawaacha abadan jumla nawadai 88,000 walidanganya kulipa kwa bili
Alihama shule ndio pona yake ila ningemfanyia tukio na anangelipa na ya usumbufu.Fanya hivi, omba ratiba ya vipindi vya masomo Kwa wanafunzi waulize huyo ticha anafundisha somo gn baada ya hapo check kwenye timetable ni mda upi ana kipindi uende ukamvurumushe darasani kabisa ikiwezekana subiri mda wa assembly ukamfokee na makofi juu
Nilisamehe kishingo upande maana na mimi wadeni wangu wakisema wanichachamalie mjini nitahama hapa.Huyo ticha nimempenda bure na ingependeza zaidi kama kungekuwa na ziro kadhaa mbele ya hiyo 25K. Pole mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Utoto qa kiwango Cha lami....Hawa wtau sijui wnaa shida ganiAcha kutafuta umaarufu kunuka humu, wakati unawakopesha uliandika hapa kuwa unawakopesha?
Umeona trend ya kusakama walimu imenoga na wewe unataka kupata jina. Pathetic.
Tema mate chini. Hujawahi kudai wewe, asikwambie mtu walimu wanakera ahseeUtoto qa kiwango Cha lami....Hawa wtau sijui wnaa shida gani
Uchache wa akili tu ndo unatuzuzuaMnapenda kutafuta attention za watu kupitia walimu kunamtanzania Gani ambae hakopi?
Mfabyabiashar gani unaenda kuwasema wateja wako mitandaoni au sababu ualimu au unataka usifiwe kuwatja taja walimu
Acheni hizo
Mwalimu Mpwayugu upoooTema mate chini. Hujawahi kudai wewe, asikwambie mtu walimu wanakera ahsee
Sio walimu tu ,,,wabongo wengi hawarudishi wakikopa....ni wahuniTema mate chini. Hujawahi kudai wewe, asikwambie mtu walimu wanakera ahsee