Walimu mmetengeneza chuki mbele ya jamii

Walimu mmetengeneza chuki mbele ya jamii

Msigazi Mkulu

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
4,186
Reaction score
3,418
Ule msemo wa msikini haaminiki ndio uliojidhirisha katika hiki kipindi.

Kitendo cha walimu kujitokeza kwa wingi kuomba kazi za kusimamia uchaguzi wakati wakijua hali ya kidemokrasia nchini haipo fair na ya kidhalimu, kimedhihilisha kuwa umasikini upelekea mtu kuwa mjinga.

Haya sasa walimu mmevuna mlichopanda mmejipeleka kufanya hiyo kazi pamoja kutangazwa dau dogo (elfu 30 kwa 35 kwa siku ×2 60/70) mkatii maagizo kutoka juu mkafanya mlio yafanya. Hii kazi ina laana sio bure.
 
Usisahau kuna wajinga wengine wanaitwa watendaji wa mitaa ,vijiji na kata hawa ni janga. hawa ndo walifanikisha mipango miovu yoote
 
Mtoa mada huna unachokijua,kwa bahati nzuri niko karibu na walimu kutokana na shughuli zangu,kwa taarifa yako hyo pesa uliyotaja elfu 70 zidisha mara tano..
 
Mtoa mada huna unachokijua,kwa bahati nzuri niko karibu na walimu kutokana na shughuli zangu,kwa taarifa yako hyo pesa uliyotaja elfu 70 zidisha mara tano..
Inabidi uelewe jomba,kwenye tangazo la kazi iliandikwa hiyo pesa, hizo nyingine walizopewa ni bonasi baada kufanya kazi nzuri waliyoelekezwa.
 
Back
Top Bottom