Tetesi: Walimu kupandishwa madaraja mwisho wa mwezi huu

Acha kupinga, waraka ninao umesema walimu husika wapandishe, swala la kupanda madaraja liko kisheria, halihusiani na bajeti. Hujui kuwa mwezi wa tano watu walipanda madaraja, waweza niambia ni bajeti gani ilitumika kuwapandisha watu hao.

Hakika mama anaupiga mwingi, kura za watumishi wote hasa walimu lazima azibebe zote. JPM kabana sana watu, mama ni mwingi wa huruma, Mungu amjalie heri na baraka tele.
Huo waraka uko wapi?
 
Kuna tetesi kuwa serikali iko mbioni kuwapandisha madaraja walimu walioajiriwa miaka ya 2014 na 2015 ambao walikutana na mkono wa chuma wa JPM.

Kama ni kweli, naona kabisa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi 2025.
Watumishi kupandishwa kwanini walimu hutajwa Sana au kwasababu ni wengi sana mpaka wanajaza uwanja wa mei mosi?
 
Back
Top Bottom