Hao CHAKAMWATA nao wapigaji hivi ugovi wao viongozi ulishia wapi maana tulisikia wanagombania pesa zilizopo bankKuna watu walijitoa CWT wakaingia CHAKAMWATA. CWT ikaenda mahakamani wakarudishwa wote waliojitoa
Kwa mtindo huu wakuambiwa wafunge mikanda ili T shirt zinunuliwe naanza kuwa na doubt CWT michango yao uko hazina hawapewi sema kulalamika wanaogopaKama kuna mtu ana kudhulumu na kukuumiza na huna nguvu za kumdhibiti, at least NUNA. Ili hata dhulumati mwenyewe ajue umechukia.
Tumesoma kwenye vita ya majimaji, licha ya wamatumbi kupigwa lakini wakoloni walijifunza kwamba hawa watu hawapendi tunachofanya.
Sasa walimu ni kama misukule, siku ya Mei mosi matumbo mbele, T shirt za CWT na vibendera na nyimbo za kuabudu.
Kama hilo halitoshi walimu wengi ni CCM damu.
Kwahiyo Wewe Unaona kama wanaonewa ila wao wanaona wako vizuri tu maana ingekuwa mbaya wao ni CWT wasingekubali mialiko yake siku ya Mei mosi
Tanzania ni nchi ya wanyonge na walimu ni wanyonge zaidi, hakuna jambo baya kama kumtetea mtanzania mnyonge kwani anaweza akakukana akipewa kepu (kofia ya kijani).Michango mnayochanga kila mwezi inafanya kazi gani, leo mnambiwa mfunge mikanda miezi miwili gawio lenu la kila mwezi linaenda nunua T shirt za Mei mosi 2021.
Huu si uhuni huu, fedha inazokusanya kila mwezi inafanya shughuli gani na kwanini haya mambo muambiwe mwaka huu tu miaka mingine pesa za T shirt walitoa wapi?
View attachment 1719370
... Ok. Sijaona financial statements zao.Benki imeanza kazi muda mrefu, kwa Dar makao makuu opposite na mlimani city pia kuna tawi posta
Hauhitaji kuziona, siku zote CWT hujifanya ni tawi la CCM ili wapate kinga.... Ok. Sijaona financial statements zao.
Wakirudishwa bila kuridhia si wakamshtaki mwajiri kwa kukata mshahara wao bila ridhaa. Walimu wanakiendekeza sana hiki chama, wanajiumiza wenyeweTatizo watu kila wakijitoa wanarudishwa hakuna mwalimu anaetaka akatwe 2% kila mwezi
Wao wenyewe wameridhia kukatwa mishahara yao huku wakijua chama chao hakiwasaidii kwa lolote lile.Wakirudishwa bila kuridhia si wakamshtaki mwajiri kwa kukata mshahara wao bila ridhaa. Walimu wanakiendekeza sana hiki chama, wanajiumiza wenyewe
Ndio ipo hivo!!Watu walifuata utaratibu wakajitoa na bado wakarudishwa
Ya mwaka huu yana rangi gani?Ujinga matshirt yenyewe hovyo tu, tulipaswa kuyakataa wote, tusiyachukie
Mbaya sana hizo T shirtUjinga flan, wamekata hela za wanachama af wanefanyia ujingaView attachment 1755489
Teachers Labour PartyYa mwaka huu yana rangi gani?