Walimu, hivi CWT wataendelea kuwaibia mpaka lini?

Walimu, hivi CWT wataendelea kuwaibia mpaka lini?

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,160
Reaction score
11,263
Michango mnayochanga kila mwezi inafanya kazi gani, leo mnambiwa mfunge mikanda miezi miwili gawio lenu la kila mwezi linaenda nunua T shirt za Mei mosi 2021.

Huu si uhuni huu, fedha inazokusanya kila mwezi inafanya shughuli gani na kwanini haya mambo muambiwe mwaka huu tu miaka mingine pesa za T shirt walitoa wapi?

IMG-20210307-WA0005.jpg
 
Kuna watu walijitoa CWT wakaingia CHAKAMWATA. CWT ikaenda mahakamani wakarudishwa wote waliojitoa
Na ndiyo maana nimewahusisha moja kwa moja na CCM. Hutokuja uone hiyo CWT ikiongozwa na Mwalimu mwenye mlengo wa kutaka Mabadiliko ndani ya hicho chama.

Viongozi wake wote ni Mamluki wa CCM! Na ni rushwa na uccm ndiyo ulio jaa kwenye mchakato wa upatikanaji wake.
 
Mm huwa najiuliza tu kwanini iwe lazima kuingizwa kwenye chama ambacho sijawahi ona faida yake yoyote ile ,chama kimeshindwa kuwa na mabank kila wilaya ili angalau Walimu wakope huko ,ajabu bank ya Walimu ipo dar na wanaokopa hapo sio Walimu Ni wafanyabiashara peke yao.
Hiki chama Ni chakinyonyaj Sana ila naamin ipo siku atakuja rais mwenye huruma na walimu atakifuta kabisa hiki chama maana Ni kichaka Cha kuwatajirisha wengine huku wengine wakifa maskin wa kutupwa.

Leo hii makato ya mwalimu ya miaka 35 ya kufanya hii kaz malipo yake Ni tishet na kofia na bati 20 anapostaff? Alaf kwann iwe lazima ,faida yake Ni ipi haswa ,kwann isiwe hiari ya mtu kujiunga na chama hiki Cha kinyonyaji kwa Walimu ?Nilitegemea jiwe angewajar Walimu maana nae katoka huko ajab sasa yeye ndie kaja kuwahujum na kupiga nyundo kwenye utos ,no increament ,no kupanda madaraja,no ajira za Walimu, Zaid kajaa ubabe na vitisho kila iitwapo leo
 
Na ndiyo maana nimewahusisha moja kwa moja na CCM. Hutokuja uone hiyo CWT ikiongozwa na Mwalimu mwenye mlengo wa kutaka Mabadiliko ndani ya hicho chama.

Viongozi wake wote ni Mamluki wa CCM! Na ni rushwa na uccm ndiyo ulio jaa kwenye mchakato wa upatikanaji wake.
Mh. Rais kwenye uchaguzi wa CWT mwaka jana alisema waangalie namna ya kupunguza makato ya 2% lakini hadi leo kimya hawajatekeleza chochote. Hii inaashiria kuwa CWT inapinga hata agizo la mkuu wa nchi. Hiki kiburi wanakitoa wapi?
 
Mm huwa najiuliza tu kwanini iwe lazima kuingizwa kwenye chama ambacho sijawahi ona faida yake yoyote ile ,chama kimeshindwa kuwa na mabank kila wilaya ili angalau Walimu wakope huko ,ajabu bank ya Walimu ipo dar na wanaokopa hapo sio Walimu Ni wafanyabiashara peke yao...
Aisee!! Inahuzunisha!! 😟😟Haya yote yanaletwa na CCM! Maana sehemu ya hela za kampeni zao huchota huko.
 
Mh. Rais kwenye uchaguzi wa CWT mwaka jana alisema waangalie namna ya kupunguza makato ya 2% lakini hadi leo kimya hawajatekeleza chochote. Hii inaashiria kuwa CWT inapinga hata agizo la mkuu wa nchi. Hiki kiburi wanakitoa wapi?
Hao ni Waarabu wa Pemba. Wizi na Uonevu wote unao fanyika huko dhidi ya Walimu Rais na Wasaidizi wake, wana ufahamu! Ila wameamua kufumba macho na kuziba masikio! Si na wenyewe wanafaidika kupitia hela wanazopewa na hao CWT kwa ajili ya kampeni!!
 
Kuna yule mama muhasibu wa CWT aliteuliwa mkuu wa wilaya
Hao ni Waarabu wa Pemba. Wizi na Uonevu wote unao fanyika huko dhidi ya Walimu Rais na Wasaidizi wake, wana ufahamu! Ila wameamua kufumba macho na kuziba masikio! Si na wenyewe wanafaidika kupitia hela wanazopewa na hao CWT kwa ajili ya kampeni!!
 
Huyo CWT ni Mtoto kipenzi wa CCM! Hata upambane nae vipi! Huwezi kumshinda. Na kiukweli ni mtoto mwizi aliyepitiliza!..
Kama kuna mtu ana kudhulumu na kukuumiza na huna nguvu za kumdhibiti, at least NUNA. Ili hata dhulumati mwenyewe ajue umechukia.

Tumesoma kwenye vita ya majimaji, licha ya wamatumbi kupigwa lakini wakoloni walijifunza kwamba hawa watu hawapendi tunachofanya.

Sasa walimu ni kama misukule, siku ya Mei mosi utawaona matumbo mbele, T shirt za CWT na vibendera na nyimbo za kuabudu.

Kama hilo halitoshi walimu wengi ni CCM damu.

Kwahiyo Wewe Unayeona kama wanaonewa ila wao wanaona wako vizuri tu maana laiti kama ingekuwa mbaya wao ni CWT wasingekubali mialiko yake siku ya Mei mosi.

Yaani hata KUSUSA wameshindwa, ndio maana hata CWT wanawadharau kabisa.
 
Michango mnayochanga kila mwezi inafanya kazi gani, leo mnambiwa mfunge mikanda miezi miwili gawio lenu la kila mwezi linaenda nunua T shirt za Mei mosi 2021.

Huu si uhuni huu, fedha inazokusanya kila mwezi inafanya shughuli gani na kwanini haya mambo muambiwe mwaka huu tu miaka mingine pesa za T shirt walitoa wapi?
View attachment 1719370
Yote heri sisi huku bwana TALGWU anatuhenyesha hata umuhimu wake sioni zaidi ya tshirts ...
 
Kulalamika hakusaidii kama kuchukua hatua zinazostahili tusome Sheria ya Ajira a mahusiano Kazini inaelekeza nini tutumie utaratibu wa kisheria kulalamika bila hivyo CWT itaendelea kuwa top.
 
... hivi ile benki yao imeshaanza ku-operate au bado?
 
... hivi ile benki yao imeshaanza ku-operate au bado?
MCB inaonekana ni changa la macho kwa Walimu....walionunua hisa ndiyo wameingia kwenye kambi ya jeshi bila idhini.
Back to point ......zile hisa 100 za kila Mwalimu sijui zimefikia wapi?...😂😂😂😭😭😭😭😭😭

CWT..
 
MCB inaonekana ni changa la macho kwa Walimu....walionunu hisa ndiyo wameingia kwenye kambi ya jeshi bila idhini.
Back to point ......zile hisa 100 za kila Mwalimu sijui zimefikia wapi?...😂😂😂😭😭😭😭😭😭

CWT..
Huwa sielewi; inakuwaje nchi inaingia kwenye uchumi wa kati hali ya maisha inakuwa ngumu kuliko ilivyokuwa poor? Wachumi hebu tusaidieni.
 
Kulalamika hakusaidii kama kuchukua hatua zinazostahili.....tusome Sheria ya Ajira a mahusiano Kazini inaelekeza nini tutumie utaratibu wa kisheria kulalamika bila hivyo CWT itaendelea kuwa top.
Watu walifuata utaratibu wakajitoa na bado wakarudishwa
 
Kuna watu walijitoa CWT wakaingia CHAKAMWATA. CWT ikaenda mahakamani wakarudishwa wote waliojitoa
Mahakama ilitoa hukumu gani ? Na hao watu si waende mahakamani kupinga kurudi cwt maana uanachama ni hiari
 
Back
Top Bottom