Walimu ebu ipe thamani elimu yenu

Walimu ebu ipe thamani elimu yenu

Middle class wa kitanzania mnafeli wapi?,ukisubiri kujipanga kinachofuatwa utapangwa!,waalimu wanatakiwa huko far east, why usitake risks kwenda kule?science bado ni critical skills kwa nchi nyingi hapa hapa SADC why hamjaribu kwenda kule?,au ndio uzuzu wa uoga?,pigana pata passport then ...sky it's the limit...fly ruka fly na fight
 
Mkuu usiombee huku nje maisha ni magumu kupita maelezo, nimemkuta mstaafu mmoja alikuwa Afisa kwenye idara fulani ya serikali hivi sasa ni fundi baiskeli, kila biashara aliyojaribu kufanya iligoma
Kuna kazi ukizifanya ni laana ukistaafu ndio unaelewa....kitaa kina CODES....kitaa ni Kwa Terry ✍️✍️✍️
 
Kabla cjajaajiliwa nilikua nalipwa 100000(deproma) sikua peke yangu. Iyo ni mwaka juzi 2021.
Ukishahitimu chuo tu. Tunagawanyika, Kuna watoto wa matajir wao wanaenda kusimamia miradi ya baba zao, wengine wako maeneo yenye fulsa nyingi so wataajirika hata Kwa malipo madogo yenye uafadhar, wa vijijin kama wanamashamba na mitaj ya baba zao wataingia kujiajir mashambani, lakn watoto wa maskn, ambaye amesoma Kwa kuuza kuku au mbuz mmojammoja wengi tunaishia kuteseka tu. Kwa iyo hata angenilipa hamsini siiachi, kuiheshimu taaluma Yako ni kuitumia Vizuri na sio kutaka mshaara mkubwa. Ukifanya Kaz Kwa weledi na kujituma, na ikazaa matunda mazuri ndo HESHIMA ya taaruma Yako, zen malipo mazuri yataifuata heshim uliyoitengeneza kwanza, malipo mazuri na HESHIMA ya taaluma Yako sio kuwa na Cheti tu.
Oky

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
😂Kwani mleta mada kafanyaje mbona mnamshambulia sana?
 
Kabla cjajaajiliwa nilikua nalipwa 100000(deproma) sikua peke yangu. Iyo ni mwaka juzi 2021.
Ukishahitimu chuo tu. Tunagawanyika, Kuna watoto wa matajir wao wanaenda kusimamia miradi ya baba zao, wengine wako maeneo yenye fulsa nyingi so wataajirika hata Kwa malipo madogo yenye uafadhar, wa vijijin kama wanamashamba na mitaj ya baba zao wataingia kujiajir mashambani, lakn watoto wa maskn, ambaye amesoma Kwa kuuza kuku au mbuz mmojammoja wengi tunaishia kuteseka tu. Kwa iyo hata angenilipa hamsini siiachi, kuiheshimu taaluma Yako ni kuitumia Vizuri na sio kutaka mshaara mkubwa. Ukifanya Kaz Kwa weledi na kujituma, na ikazaa matunda mazuri ndo HESHIMA ya taaruma Yako, zen malipo mazuri yataifuata heshim uliyoitengeneza kwanza, malipo mazuri na HESHIMA ya taaluma Yako sio kuwa na Cheti tu.
Mtoa mada anawazungumzia walimu kama wewe, hivi mwalimu kama wewe utawezaje kuiheshimu taaluma yako?

Unafundisha nini watoto wetu wakati wewe mwenyewe huwezi kuandika?
 
Mleta mada we ni mtu usiyejua uhalisia wa maisha.

Ni Bora alipwe hiyo 250k kwa mwezi huku akichapa kazi na kuipa thamani cv yake.

Akijua alipo hiyo 250k inatosha kuishi, uchapakazi, uaminifu, ustahimilivu na uvumilivu vitampandisha daraja.

Elimu SI kitu bila manufaa yake, Kuna kijana alianza na 240k mwaka 2020 mpaka Sasa anaingiza 1m per month kama mshahara Yuko private school.
 
Walimu tunacopy kwenye oxford, tie, fundamental book na vitabu vngine. Kaz yetu kubwa ni kufafanua kilichoandikwa. So kuandika andika sio issue kwetu.
 
Mleta mada we ni mtu usiyejua uhalisia wa maisha.

Ni Bora alipwe hiyo 250k kwa mwezi huku akichapa kazi na kuipa thamani cv yake.

Akijua alipo hiyo 250k inatosha kuishi, uchapakazi, uaminifu, ustahimilivu na uvumilivu vitampandisha daraja.

Elimu SI kitu bila manufaa yake, Kuna kijana alianza na 240k mwaka 2020 mpaka Sasa anaingiza 1m per month kama mshahara Yuko private school.
Good comment
 
Back
Top Bottom