Walimu ebu ipe thamani elimu yenu

Walimu ebu ipe thamani elimu yenu

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,392
Reaction score
10,899
Yaani nimeshangaaa sana, kuna jirani yangu ana mtoto kasomea ualimu wa Chemia na Biologia, SUA.

Alimaliza 2021, chakushangaza katafuta kazi private, mshahara ni 250,000. Jamani walimu, yaani umeteseka kwa miaka mingi kusoma degree uje ulipwe mshahara mdogo kama huo.

vijana ebu thamini elimu zenu, na shule binafsi wathamini walimu, haiwezekani degree umlipe hela ya nyanya kama hii.

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Uzi tayari

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Utakuwa una miaka 23 hapa duniani!
Hivi unalijua soko la ajira lilivyo?
Si bora huyo hakai bure? Wahitimu wengi wanalipwa hua mshahara tena kada nyingi sema wana uramba tuu uwezi jua… fanya utafiti
 
Alimaliza 2021, chakushangaza katafuta kazi private, mshahara ni 250,000. Jamani walimu, yaani umeteseka kwa miaka mingi kusoma degree uje ulipwe mshahara mdogo kama huo.
Mkuu usiombee huku nje maisha ni magumu kupita maelezo, nimemkuta mstaafu mmoja alikuwa Afisa kwenye idara fulani ya serikali hivi sasa ni fundi baiskeli, kila biashara aliyojaribu kufanya iligoma
 
Yaani nimeshangaaa sana, kuna jirani yangu ana mtoto kasomea ualimu wa Chemia na Biologia, SUA.

Alimaliza 2021, chakushangaza katafuta kazi private, mshahara ni 250,000. Jamani walimu, yaani umeteseka kwa miaka mingi kusoma degree uje ulipwe mshahara mdogo kama huo.

vijana ebu thamini elimu zenu, na shule binafsi wathamini walimu, haiwezekani degree umlipe hela ya nyanya kama hii.

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Samahani mleta mada. Mshahara mkubwa unaotaka alipwe ni upi?
 
Ukiangalia haraka haraka utahisi kwamba bwana mdogo anaonewa, lakini sio kweli, mfumo wa maisha ya kielimu unamuandaa mtu aajiriwe hasa katika baadhi ya kada zikiwemo za afya na elimu.

Wengi wanaotoka tu chuo na kuingia kwenye soko la ajira huwa wanapewa thamani ndogo kutokana na kukosa uzoefu kazini.

Huo mshahara sio mdogo kama unavowaza.
 
Yaani nimeshangaaa sana, kuna jirani yangu ana mtoto kasomea ualimu wa Chemia na Biologia, SUA.

Alimaliza 2021, chakushangaza katafuta kazi private, mshahara ni 250,000. Jamani walimu, yaani umeteseka kwa miaka mingi kusoma degree uje ulipwe mshahara mdogo kama huo.

vijana ebu thamini elimu zenu, na shule binafsi wathamini walimu, haiwezekani degree umlipe hela ya nyanya kama hii.

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Aithaminije Sasa, akatae ilihali hana chochote, aithamini kwa kukaa nyumbani akiisubiri serikali?? Ungesema aithaminije hiyo digrii
 
Yaani nimeshangaaa sana, kuna jirani yangu ana mtoto kasomea ualimu wa Chemia na Biologia, SUA.

Alimaliza 2021, chakushangaza katafuta kazi private, mshahara ni 250,000. Jamani walimu, yaani umeteseka kwa miaka mingi kusoma degree uje ulipwe mshahara mdogo kama huo.

vijana ebu thamini elimu zenu, na shule binafsi wathamini walimu, haiwezekani degree umlipe hela ya nyanya kama hii.

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Hongera mkuu kwa wazo zuri la kumuajiri mtoto wa jirani na kuamua kumpatia mshahara wa 700,000/- badala ya 250,000/- aliyokuwa akipewa shule ya private. Na huu ndio ujirani tuutakao.
 
Yaani nimeshangaaa sana, kuna jirani yangu ana mtoto kasomea ualimu wa Chemia na Biologia, SUA.

Alimaliza 2021, chakushangaza katafuta kazi private, mshahara ni 250,000. Jamani walimu, yaani umeteseka kwa miaka mingi kusoma degree uje ulipwe mshahara mdogo kama huo.

vijana ebu thamini elimu zenu, na shule binafsi wathamini walimu, haiwezekani degree umlipe hela ya nyanya kama hii.

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Kabla cjajaajiliwa nilikua nalipwa 100000(deproma) sikua peke yangu. Iyo ni mwaka juzi 2021.
Ukishahitimu chuo tu. Tunagawanyika, Kuna watoto wa matajir wao wanaenda kusimamia miradi ya baba zao, wengine wako maeneo yenye fulsa nyingi so wataajirika hata Kwa malipo madogo yenye uafadhar, wa vijijin kama wanamashamba na mitaj ya baba zao wataingia kujiajir mashambani, lakn watoto wa maskn, ambaye amesoma Kwa kuuza kuku au mbuz mmojammoja wengi tunaishia kuteseka tu. Kwa iyo hata angenilipa hamsini siiachi, kuiheshimu taaluma Yako ni kuitumia Vizuri na sio kutaka mshaara mkubwa. Ukifanya Kaz Kwa weledi na kujituma, na ikazaa matunda mazuri ndo HESHIMA ya taaruma Yako, zen malipo mazuri yataifuata heshim uliyoitengeneza kwanza, malipo mazuri na HESHIMA ya taaluma Yako sio kuwa na Cheti tu.
 
Yaani nimeshangaaa sana, kuna jirani yangu ana mtoto kasomea ualimu wa Chemia na Biologia, SUA.

Alimaliza 2021, chakushangaza katafuta kazi private, mshahara ni 250,000. Jamani walimu, yaani umeteseka kwa miaka mingi kusoma degree uje ulipwe mshahara mdogo kama huo.

vijana ebu thamini elimu zenu, na shule binafsi wathamini walimu, haiwezekani degree umlipe hela ya nyanya kama hii.

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Wakati unamshangaa huyo mtoto wa jirani yako kuajiriwa kwa ujira wa laki 2 na nusu pekee, ulitakiwa pia utuambie wewe mwenzetu unafanya shughuli gani ya kukuingizia kipato! Na kwa mwezi unapata shilingi ngapi.

Na ungetuambia pia watoto wako (kama unao) umewaandaa kusomea nini ili waweze kulipwa mishahara mizuri hapo baadaye. Na hii ingewasaidia wengine kujifunza kutoka kwako.

Kinyume na hapo, utaonekana huna shughuli za kufanya kiasi cha kuanza kufuatilia maisha ya watu wasio kuhusu.
 
Back
Top Bottom