Yes mkoba yani alikuwa anatufundisha anakandia serikali na unyonyaji, yani niliposikia kachaguliwa kuwa raisi wa chama nikajua anaenda fanya mapinduzi, kuja kusikia nikasikia alikiwa na dharau kinoma hasa kwa walimu ambao walikuwa wanalalamika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]umeona eehhh!uko sahihi kabisaa,Mukoba huyo alikua anaitwa!Mimi siwaamini hata hao chama kipya
na ndio limekufanya ujue kuunganisha alfabet ukaweza kuingia ata jfWalimu ni kundi lisilojitambua
inategemea ukikubali kukaliwa poa tu.Zaman nilkuwa najiulizaga sana maswali,kwann walimu wengi ni waoga sana na wana utiifu wa kijinga.
Jibu nilikuja kulipata baada ya kuwa karibu na chuo kimoja cha kati,kumbe mwalimu anaandaliwa kuwa mwoga akiwa chuo,niliona jinsi wanachuo walivyokuwa wanatreatiwa ni zaidi ya wafungwa hata haifikii kwa wanafunz wa primary,kile chuo hapana
Watu wako chakuhawata kitambo tunasubria mwez wa 5 tu tuvae sareSijui kwanini bado walimu ni wanyonge kwa hiki chama CWT. View attachment 2129178View attachment 2129179
Mafi yake popote alipoWewe ni katibu wa CWT tawi gani mkuu?
Kifupi tu CWT ni wezi na hamna msaada wowote waachieni watu wajiamulie maisha yao mambo ya kuwaibia walimu kwa kuwatishia mnafeli zama zimebadilika hizi
Taasisi pekee Tanzania ambayo haijali wateja wake ni taasisi ya elimu kwa maana ya shule.Ulicho kifanya hapa ni sawa na kuutukana uchi wa mama yako ulio kutoa ukawa wewe , kwa kweli huna hakili haya yote unayo yaandika humu umeweza kuyaandika kwa sababu ya huyo huyo mwalimu anayejifanya leo unamnanga, eti ulijifundisha mwenyewe?
Walimu ni miongoni mwa kundi lenye uvumilivu sana na hiyo ni moja ya ethics za ualimu na ndio maana hata wewe ulipo kuwa hujui kusoma ulifundishwa hata mara 10 ili uweze na ulipo mkwaza mwalimu alikuchapa lakini bado alikupenda na akaendelea kukufundisha ukajua kusoma na kuandika halafu leo una mtukana tena!, only happen to a foolish thinkers.
Yawezekana kuna namna nzuri tu ambayo ungeitumia kueleza hilo wazo lako lakin kwa sababu ya ujinga wako ndio umewaza kuishia hapo.
Kusema ukweli walimu walio wengi ni vihiyo maana hawafuati muongozo wa elimu juu ya utoaji wa adhabu kwa wateja wao/wanafunzi.Ulicho kifanya hapa ni sawa na kuutukana uchi wa mama yako ulio kutoa ukawa wewe , kwa kweli huna hakili haya yote unayo yaandika humu umeweza kuyaandika kwa sababu ya huyo huyo mwalimu anayejifanya leo unamnanga, eti ulijifundisha mwenyewe?
Walimu ni miongoni mwa kundi lenye uvumilivu sana na hiyo ni moja ya ethics za ualimu na ndio maana hata wewe ulipo kuwa hujui kusoma ulifundishwa hata mara 10 ili uweze na ulipo mkwaza mwalimu alikuchapa lakini bado alikupenda na akaendelea kukufundisha ukajua kusoma na kuandika halafu leo una mtukana tena!, only happen to a foolish thinkers.
Yawezekana kuna namna nzuri tu ambayo ungeitumia kueleza hilo wazo lako lakin kwa sababu ya ujinga wako ndio umewaza kuishia hapo.
Hata jeuri ya kuandika hivyo Kwa dharau bila Walimu kufanya kazi ya kukuondoa ujinga usingeweza.Tatizo walimu wakiambiwa ukweli wanakasirika, hii sector imetawaliwa na mentality ya kike , umaskini na ulimbukeni , no reasoning with high inferiority complex, ... Kama Una akili timamu hyo siyo sector ya kukaa, ni Saccos ya kike , Kwa nchi nyingine ualimu ni bingo Kwa Tanzania ni some kind of shit
Ubarikiwe Mkuu Kwa maneno ya Hekima.Ulicho kifanya hapa ni sawa na kuutukana uchi wa mama yako ulio kutoa ukawa wewe , kwa kweli huna hakili haya yote unayo yaandika humu umeweza kuyaandika kwa sababu ya huyo huyo mwalimu anayejifanya leo unamnanga, eti ulijifundisha mwenyewe?
Walimu ni miongoni mwa kundi lenye uvumilivu sana na hiyo ni moja ya ethics za ualimu na ndio maana hata wewe ulipo kuwa hujui kusoma ulifundishwa hata mara 10 ili uweze na ulipo mkwaza mwalimu alikuchapa lakini bado alikupenda na akaendelea kukufundisha ukajua kusoma na kuandika halafu leo una mtukana tena!, only happen to a foolish thinkers.
Yawezekana kuna namna nzuri tu ambayo ungeitumia kueleza hilo wazo lako lakin kwa sababu ya ujinga wako ndio umewaza kuishia hapo.
hahahaha uwiiiiTaasisi pekee Tanzania ambayo haijali wateja wake ni taasisi ya elimu kwa maana ya shule.
Yaani mteja eti anaadhibiwa kwa fimbo wakati huyo ni kama mwajiri wako ndo amekufanya ulipwe mshahara.
Kiukweli kuwa mwalimu bora kuwa hata mkulima wa mboga mboga. Unamchapaje mteja wako ambaye ni mwanafunzi?
Umeona wapi taasisi nyingine inatoa adhabu kwa wateja wake wanaowafanya walipwe mishahara?
Bora chama kipya wanakata elfu 5 tu bila kujali kiwango cha mshahara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]umeona eehhh!uko sahihi kabisaa,Mukoba huyo alikua anaitwa!Mimi siwaamini hata hao chama kipya
Halafu wengi wao sijui wanamapepo ya kuchapaTaasisi pekee Tanzania ambayo haijali wateja wake ni taasisi ya elimu kwa maana ya shule.
Yaani mteja eti anaadhibiwa kwa fimbo wakati huyo ni kama mwajiri wako ndo amekufanya ulipwe mshahara.
Kiukweli kuwa mwalimu bora kuwa hata mkulima wa mboga mboga. Unamchapaje mteja wako ambaye ni mwanafunzi?
Umeona wapi taasisi nyingine inatoa adhabu kwa wateja wake wanaowafanya walipwe mishahara?
Uyu no nani
Tofauti ya kuwaza kwako na tabia ya mnyama kiti moto ni ndogo sana au haipo kabisa!!Tatizo walimu wakiambiwa ukweli wanakasirika, hii sector imetawaliwa na mentality ya kike , umaskini na ulimbukeni , no reasoning with high inferiority complex, ... Kama Una akili timamu hyo siyo sector ya kukaa, ni Saccos ya kike , Kwa nchi nyingine ualimu ni bingo Kwa Tanzania ni some kind of shit