Walimu chukueni hatua dhidi huu unyonyaji

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]umeona eehhh!uko sahihi kabisaa,Mukoba huyo alikua anaitwa!Mimi siwaamini hata hao chama kipya
Yes mkoba yani alikuwa anatufundisha anakandia serikali na unyonyaji, yani niliposikia kachaguliwa kuwa raisi wa chama nikajua anaenda fanya mapinduzi, kuja kusikia nikasikia alikiwa na dharau kinoma hasa kwa walimu ambao walikuwa wanalalamika
 
ww mafuru nimekusitiri kwa leo ningekuumbua mengi
 
Zaman nilkuwa najiulizaga sana maswali,kwann walimu wengi ni waoga sana na wana utiifu wa kijinga.

Jibu nilikuja kulipata baada ya kuwa karibu na chuo kimoja cha kati,kumbe mwalimu anaandaliwa kuwa mwoga akiwa chuo,niliona jinsi wanachuo walivyokuwa wanatreatiwa ni zaidi ya wafungwa hata haifikii kwa wanafunz wa primary,kile chuo hapana
inategemea ukikubali kukaliwa poa tu.
 
Kifupi tu CWT ni wezi na hamna msaada wowote waachieni watu wajiamulie maisha yao mambo ya kuwaibia walimu kwa kuwatishia mnafeli zama zimebadilika hizi
 
Ulicho kifanya hapa ni sawa na kuutukana uchi wa mama yako ulio kutoa ukawa wewe , kwa kweli huna hakili haya yote unayo yaandika humu umeweza kuyaandika kwa sababu ya huyo huyo mwalimu anayejifanya leo unamnanga, eti ulijifundisha mwenyewe?

Walimu ni miongoni mwa kundi lenye uvumilivu sana na hiyo ni moja ya ethics za ualimu na ndio maana hata wewe ulipo kuwa hujui kusoma ulifundishwa hata mara 10 ili uweze na ulipo mkwaza mwalimu alikuchapa lakini bado alikupenda na akaendelea kukufundisha ukajua kusoma na kuandika halafu leo una mtukana tena!, only happen to a foolish thinkers.

Yawezekana kuna namna nzuri tu ambayo ungeitumia kueleza hilo wazo lako lakin kwa sababu ya ujinga wako ndio umewaza kuishia hapo.
Taasisi pekee Tanzania ambayo haijali wateja wake ni taasisi ya elimu kwa maana ya shule.

Yaani mteja eti anaadhibiwa kwa fimbo wakati huyo ni kama mwajiri wako ndo amekufanya ulipwe mshahara.

Kiukweli kuwa mwalimu bora kuwa hata mkulima wa mboga mboga. Unamchapaje mteja wako ambaye ni mwanafunzi?

Umeona wapi taasisi nyingine inatoa adhabu kwa wateja wake wanaowafanya walipwe mishahara?
 
Kusema ukweli walimu walio wengi ni vihiyo maana hawafuati muongozo wa elimu juu ya utoaji wa adhabu kwa wateja wao/wanafunzi.

Unakuta mwalimu anamwadhibu mteja pasipo kufuata utaratibu eti naye anajiita mwalimu.

Wapo walimu wawili niliwakuta wakiwadhibu wanafunzi bila utaratibu nikawaonya kama mzazi nadhani hawakunielewa. Nikaenda kwa mwalimu mkuu wao nikamweleza kama amewapa idhini walimu wale kuwaadhibu watoto akasema hapana hajawapa ruhusa hiyo.

Waliandikishwa barua za maelezo na wakaniomba radhi kwa kunipuuza. Fuateni kwanza code of ethics zenu ndiyo tuseme sasa angalau mnajitambua.
 
Tatizo walimu wakiambiwa ukweli wanakasirika, hii sector imetawaliwa na mentality ya kike , umaskini na ulimbukeni , no reasoning with high inferiority complex, ... Kama Una akili timamu hyo siyo sector ya kukaa, ni Saccos ya kike , Kwa nchi nyingine ualimu ni bingo Kwa Tanzania ni some kind of shit
Hata jeuri ya kuandika hivyo Kwa dharau bila Walimu kufanya kazi ya kukuondoa ujinga usingeweza.
 
Ulicho kifanya hapa ni sawa na kuutukana uchi wa mama yako ulio kutoa ukawa wewe , kwa kweli huna hakili haya yote unayo yaandika humu umeweza kuyaandika kwa sababu ya huyo huyo mwalimu anayejifanya leo unamnanga, eti ulijifundisha mwenyewe?

Walimu ni miongoni mwa kundi lenye uvumilivu sana na hiyo ni moja ya ethics za ualimu na ndio maana hata wewe ulipo kuwa hujui kusoma ulifundishwa hata mara 10 ili uweze na ulipo mkwaza mwalimu alikuchapa lakini bado alikupenda na akaendelea kukufundisha ukajua kusoma na kuandika halafu leo una mtukana tena!, only happen to a foolish thinkers.

Yawezekana kuna namna nzuri tu ambayo ungeitumia kueleza hilo wazo lako lakin kwa sababu ya ujinga wako ndio umewaza kuishia hapo.
Ubarikiwe Mkuu Kwa maneno ya Hekima.
 
Taasisi pekee Tanzania ambayo haijali wateja wake ni taasisi ya elimu kwa maana ya shule.

Yaani mteja eti anaadhibiwa kwa fimbo wakati huyo ni kama mwajiri wako ndo amekufanya ulipwe mshahara.

Kiukweli kuwa mwalimu bora kuwa hata mkulima wa mboga mboga. Unamchapaje mteja wako ambaye ni mwanafunzi?

Umeona wapi taasisi nyingine inatoa adhabu kwa wateja wake wanaowafanya walipwe mishahara?
hahahaha uwiiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]umeona eehhh!uko sahihi kabisaa,Mukoba huyo alikua anaitwa!Mimi siwaamini hata hao chama kipya
Bora chama kipya wanakata elfu 5 tu bila kujali kiwango cha mshahara
 
Taasisi pekee Tanzania ambayo haijali wateja wake ni taasisi ya elimu kwa maana ya shule.

Yaani mteja eti anaadhibiwa kwa fimbo wakati huyo ni kama mwajiri wako ndo amekufanya ulipwe mshahara.

Kiukweli kuwa mwalimu bora kuwa hata mkulima wa mboga mboga. Unamchapaje mteja wako ambaye ni mwanafunzi?

Umeona wapi taasisi nyingine inatoa adhabu kwa wateja wake wanaowafanya walipwe mishahara?
Halafu wengi wao sijui wanamapepo ya kuchapa
 
Hivi kwanini walimu wengi ni walevi
Mkiongezewa mishahara si mtatoa offer bar
 
Tatizo walimu wakiambiwa ukweli wanakasirika, hii sector imetawaliwa na mentality ya kike , umaskini na ulimbukeni , no reasoning with high inferiority complex, ... Kama Una akili timamu hyo siyo sector ya kukaa, ni Saccos ya kike , Kwa nchi nyingine ualimu ni bingo Kwa Tanzania ni some kind of shit
Tofauti ya kuwaza kwako na tabia ya mnyama kiti moto ni ndogo sana au haipo kabisa!!
 
Back
Top Bottom