Bornventure
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 529
- 523
Sijui kwanini bado walimu ni wanyonge kwa hiki chama CWT. View attachment 2129178
?sijui kwanini bado walimu ni wanyonge kwa hiki chama CWT. View attachment 2129178View attachment 2129179
Kwanza nyie walimu mna shida sana, siyo viongozi wenu tu, na ninyi pia, naamini wewe ni Mwl.sijui kwanini bado walimu ni wanyonge kwa hiki chama CWT. View attachment 2129178View attachment 2129179
CCM inaingiaje hapa kwenye mapungufu ya mtu binafsi we nae, unadhani ikiwa chadema au CUF itaajiri watu wa Botswana au Zimbabwe? Hizi ni hulka za kiTanzania tu ukiwemo na weweSerikali ya CCM ina laana
Ulicho kifanya hapa ni sawa na kuutukana uchi wa mama yako ulio kutoa ukawa wewe , kwa kweli huna hakili haya yote unayo yaandika humu umeweza kuyaandika kwa sababu ya huyo huyo mwalimu anayejifanya leo unamnanga, eti ulijifundisha mwenyewe?Tatizo walimu wakiambiwa ukweli wanakasirika, hii sector imetawaliwa na mentality ya kike , umaskini na ulimbukeni , no reasoning with high inferiority complex, ... Kama Una akili timamu hyo siyo sector ya kukaa, ni Saccos ya kike , Kwa nchi nyingine ualimu ni bingo Kwa Tanzania ni some kind of shit
Mwalimu mwalimu mwalimu.....Acheni kiherehere mnahamia wapi!!!hvyo vyama vinavoanzishwa vya wapiga dili tu Chakamwata imeishia wapii!!
Wewe ni katibu wa CWT tawi gani mkuu?Acheni kiherehere mnahamia wapi!!!hvyo vyama vinavoanzishwa vya wapiga dili tu Chakamwata imeishia wapii!!
Serikali ndio iliyotunga sheria ya vyama vya wafanyakazi ikaona haitoshi ikaongeza kipengele cha Agency fees kwa ambae hataki kujiunga na vyama vya wafanyakaziCCM inaingiaje hapa kwenye mapungufu ya mtu binafsi we nae, unadhani ikiwa chadema au CUF itaajiri watu wa Botswana au Zimbabwe? Hizi ni hulka za kiTanzania tu ukiwemo na wewe
Zaman nilkuwa najiulizaga sana maswali,kwann walimu wengi ni waoga sana na wana utiifu wa kijinga.Ulicho kifanya hapa ni sawa na kuutukana uchi wa mama yako ulio kutoa ukawa wewe , kwa kweli huna hakili haya yote unayo yaandika humu umeweza kuyaandika kwa sababu ya huyo huyo mwalimu anayejifanya leo unamnanga, eti ulijifundisha mwenyewe?
Walimu ni miongoni mwa kundi lenye uvumilivu sana na hiyo ni moja ya ethics za ualimu na ndio maana hata wewe ulipo kuwa hujui kusoma ulifundishwa hata mara 10 ili uweze na ulipo mkwaza mwalimu alikuchapa lakini bado alikupenda na akaendelea kukufundisha ukajua kusoma na kuandika halafu leo una mtukana tena!, only happen to a foolish thinkers.
Yawezekana kuna namna nzuri tu ambayo ungeitumia kueleza hilo wazo lako lakin kwa sababu ya ujinga wako ndio umewaza kuishia hapo.
Povu sana mkiambiwa ukweli , achana na ualimu utakufa kifalaUlicho kifanya hapa ni sawa na kuutukana uchi wa mama yako ulio kutoa ukawa wewe , kwa kweli huna hakili haya yote unayo yaandika humu umeweza kuyaandika kwa sababu ya huyo huyo mwalimu anayejifanya leo unamnanga, eti ulijifundisha mwenyewe?
Walimu ni miongoni mwa kundi lenye uvumilivu sana na hiyo ni moja ya ethics za ualimu na ndio maana hata wewe ulipo kuwa hujui kusoma ulifundishwa hata mara 10 ili uweze na ulipo mkwaza mwalimu alikuchapa lakini bado alikupenda na akaendelea kukufundisha ukajua kusoma na kuandika halafu leo una mtukana tena!, only happen to a foolish thinkers.
Yawezekana kuna namna nzuri tu ambayo ungeitumia kueleza hilo wazo lako lakin kwa sababu ya ujinga wako ndio umewaza kuishia hapo.
Kiongozi usisikie kelele za mitandaoni humu watumishi wengi wanakatwa na vyama vya wafanyakazi kwenye kada zao isipokuwa vyombo vya ulinzi na usalama. Sema hawalalamiki wanakufa na tai shingoni na kuziba viraka kwenye virushwa vya hapa na pale.Zaman nilkuwa najiulizaga sana maswali,kwann walimu wengi ni waoga sana na wana utiifu wa kijinga.
Jibu nilikuja kulipata baada ya kuwa karibu na chuo kimoja cha kati,kumbe mwalimu anaandaliwa kuwa mwoga akiwa chuo,niliona jinsi wanachuo walivyokuwa wanatreatiwa ni zaidi ya wafungwa hata haifikii kwa wanafunz wa primary,kile chuo hapana
Kweli Mara Wahamie Chakamwata Mara sijui nini,wakae watulie hukoo CWT mi sihami watahama woote,maana naona hata hiko chama kipya ni upigaji tuuMwalimu mwalimu mwalimu.....
Kiherehere tumeacha[emoji2960]
Sio katibu mwanachama wa kawaida naona wote wapigaji tu!!!ht hiko kipya!Wewe ni katibu wa CWT tawi gani mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]umeona eehhh!uko sahihi kabisaa,Mukoba huyo alikua anaitwa!Mimi siwaamini hata hao chama kipyaMwafrika ambae uwa ana hoja sana akiwa na njaa akidai atawatetea mpe cheo uone.
Sotosahau yule mhaya aliyekuwa raisi wa chama cha walimu, kipindi nasoma sekondari alikiwa mwalimu wetu wa civics, alikuwa anaponda sana na kukandia rushwa, alionekana ni mwanamapinduzi, alipopata uraisi wa cwt, yale maneno yake yote aliyameza kama polepole vile.