goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,855
- 12,985
Moja kwa moja niende kqeny hoja yangu
Tanzania tumepita vipindi vingi sana Toka enzi za kina Daniel Yona na kina marehemu Basil Pesambili Mramba .
Pamoja na Mramba kutuambia sisi wananchi kuwa tutakula nyasi Ila liwalo na liwe ndege ya Rais itanunuliwa na kweli ilinunuliwa na ajabu ktk kipindi hcho hajaguza account za watu Wal kuwanyangaya watu pesa kwa nguvu kama alivyofanya Waziri Philip Mpango ambaye kwa sasa ndio Makamu wa Rais
Mramba alibana matumizi ya Serekali na akanunua ndege ya Rais leo hii Mwigulu yeye anakuja kichwa kichwa na mikwara juu kusema kuwa yeye ndio alishauri tozo ziwepo halafu mbaya zaidi ni tozo kiupendeleo na kutowaadhiri walicho nacho.
Mfano awali mimi nilidhani kuwa tuwe wazalendo kulipa tozo hizo kumbe sikupata hesabu kamili ndipo sasa nimekuja na kuona kuwa Waziri huyu hatufai ni bora aondoke kama msaidizi wa Rais mama tafuta msaidizi mwingine huyu anataka kukugombanisha na wananchi tu
Mbona hawa Mawaziri na Magavana waliopita hawakuwai kuwashauri marais upuuzi huu
✓ Daud Balali pamoja na elimu yake kubwa hajawahi kuleta vitu hv ktk uchumi wetu
✓ Professor Beno Ndulu hakuwahi kufikiria kuchochoa Jambo hili litokee ktk uchumi wetu. Leo hii Gavana wa sasa yeye ameruhusu uchumi kuchezewa na Mwigulu anaujua kweli uchumi huyu mzee Luoga ?
✓Wiliam Mgimwa pia nae aliwahi kuwa Waziri japo hakuwa kuwaumiza wananchi kiasi hiki kwa double taxation za ovyo
✓Jeremia Sumari nae pia alipata kuhudumu kama Waziri wa Feza na mipango ila hajapitisha upuuzi wa tozo na na ni Mawaziri waliokwenda shule haswa huyu mzee wa Iramba ametoa wapi haya mawazo bila kumsahau
✓ Mustafha Mkulo ni Waziri mzuri pia aliweza kusimamia uchumi ukachanua pasipo kuwaudhi wananchi
Sasa kwa taarifa yake tu hawa Mawaziri niliowataja hapo juu pamoja na Magavana baadhi wameshafariki. Kuna waliofariki wakiwa madarakani kama Jeremia Sumari na William Mgimwa so mzee angali sana hatma yako kisiasa na umafia unaotufanyia wananchi
Ondoka haraka sana ktk ofisi ya umma