Walikuwa vimbelembele kumbe wana vyeti vya kughushi

MwanawaMUNGU41

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,036
737
7159b33a1241f2f374be3103a007ea03.jpg
 
Akili zako zinaonesha hata cheti feki huna. Ulipoenda kwa mchonga feki, alikutimua kuwa utamkamatisha soon
Hapana mkuu ninacho shule nimeenda kabisa na nikafauli ila wamama wa kijijini kwetu walitulea kwa kutupa kijiko cha gongo kila baada ya lisaa ili walime tusiwasumbue matokeo ndo haya mkuu,ningekuwa nimechonga cheti hakika aliyechonga ningesha mkamatisha lkn bahati nzuri hayupo changu ni OG mkuu
 
Hata mimi sijaelewa

Tuwe tunaandika kitu kinachoeleweka

Mkuu umegonga BALIMI ngapi hadi unaandika hii Kitu.?!!!

Jamani mbona jamaa kaandika kwa uwazi kabisa. Ni ngumu kumuelewa kama utasoma ujumbe wake bila kuunganisha na heading ya ujumbe.

Kwa kifupi jamaa anasema wababaishaji mara nyingi ujifanya wako smart na pengine kuchongea wenzao kama survival strategy kazini wakati watu smart hawana hizo. Kwa kifupi anatujulisha indicator nyingine ya kubaini mfanyakazi mwenye cheti fake - mjuaji sana.
 
Back
Top Bottom