Walikuwa vimbelembele kumbe wana vyeti vya kughushi

Jamani mbona jamaa kaandika kwa uwazi kabisa. Ni ngumu kumuelewa kama utasoma ujumbe wake bila kuunganisha na heading ya ujumbe.

Kwa kifupi jamaa anasema wababaishaji mara nyingi ujifanya wako smart na pengine kuchongea wenzao kama survival strategy kazini wakati watu smart hawana hizo. Kwa kifupi anatujulisha indicator nyingine ya kubaini mfanyakazi mwenye cheti fake - mjuaji sana.
Uzi kama huu huku haueleweki mkuu,lkn ningeweka kwamba binti wa kaka yangu ananitaka kimapenzi ungeona mambo hapa!!
 
Kwa uandishi huu bila shaka na wewe mwenyewe una cheti feki
 
Jamani mbona jamaa kaandika kwa uwazi kabisa. Ni ngumu kumuelewa kama utasoma ujumbe wake bila kuunganisha na heading ya ujumbe.

Kwa kifupi jamaa anasema wababaishaji mara nyingi ujifanya wako smart na pengine kuchongea wenzao kama survival strategy kazini wakati watu smart hawana hizo. Kwa kifupi anatujulisha indicator nyingine ya kubaini mfanyakazi mwenye cheti fake - mjuaji sana.
Okey
 
Kwa uandishi huu bila shaka na wewe mwenyewe una cheti feki
Tatizo mzoea zile thread za shemeji yangu ananitega nifanyeje?? Kamwe hii huwezi kuielewa mkuu pita tu!! Siyo kila kitu usome!!
 
Back
Top Bottom