Walikuwa ni wauaji wadogo wa Kishetani.........!

Hadithi ni nzuri sana, urefu si hoja maana inavutia sana hata ingekuwa kurasa mia bado kama unavutia ntaendelea kusoma bila kuchoka.

Hii si hadithi kaka, ni kisa cha kweli kabisa.
 
Mutambuzi hii naona ni stori ya kweli kwani hata kuna picha za wahusika, but vipi za nyuma, zote ni za kweli?
Huwa navutika na stori zako, japo huwa unashindwa kuivuta conclusion. By the way, toka mwaka '98 walipohukumiwa hadi leo maisha yao gerezani yakoje?
Nahofia pia kuwasomea watoto hadithi hii, maana ni kama inatisha hivi, na huwezi jua, may be mtoto atatakata kudadisi zaidi juu ya Natasha na wenzie. Na ktk kudadisi hayo, anaweza vutiwa na shetani kufanya mambo ya ajabu.
Labda kwenu mlio na watoto au na familia, ni vizuri kuwasimulia watoto habari za kutisha za shetani na mambo yake au ukuu wa Mungu na rehema zake.
Mtambuzi kwangu naona unasummarize sana ku accomodate wapenda summary, weka in full.
Liked the stori.
 
Mkuu umetisha na hii story.Najua wabongo hatuna dogo kesho tutaiona kwenye DVD.
 
Mutambuzi hii naona ni stori ya kweli kwani hata kuna picha za wahusika, but vipi za nyuma, zote ni za kweli?
Huwa navutika na stori zako, japo huwa unashindwa kuivuta conclusion. By the way, toka mwaka '98 walipohukumiwa hadi leo maisha yao gerezani yakoje?
Nahofia pia kuwasomea watoto hadithi hii, maana ni kama inatisha hivi, na huwezi jua, may be mtoto atatakata kudadisi zaidi juu ya Natasha na wenzie. Na ktk kudadisi hayo, anaweza vutiwa na shetani kufanya mambo ya ajabu.
Labda kwenu mlio na watoto au na familia, ni vizuri kuwasimulia watoto habari za kutisha za shetani na mambo yake au ukuu wa Mungu na rehema zake.
Mtambuzi kwangu naona unasummarize sana ku accomodate wapenda summary, weka in full.
Liked the stori.
Ni kweli mkuu, huwa najitahidi ku-summarize kwa sababu malalamiko ya kwamba naandika
stori ndefu yamezidi kuwa mengi, kwa kifupi stori zote zinazofanana na hii ninazoweka humu ni visa vya kweli kabisa vilivyowahi kutokea huko Nchini Marekani na Uingereza, kuna baadhi ya kesi za kweli zilizowahi kutokea hapa nchini ambazo zilikuwa reported ninazifanyia kazi na Mungu akipenda nitaziweka hapa. Kuhusu kuwasomea watoto, ni vyema kuwasimulia yale yampendezayo Mungu, lakini visa vya namna hii ni vyema waklivifahamu pia kwa namna ya kutaka kuwaelimisha kuwa pia yapo matendo mabaya ambayo hayampendezi Mungu na si vyema wakiyatenda.
Kwa kweli wale wahusika wote yaani Natasha na wenzake bado wako Jela kwa sababu walihukumiwa kifungo cha maisha bila uwezekano wa Parole. Waweza kumsoma hapa zaidi.
Natasha Cornett - Wikipedia, the free encyclopedia
 
story nimeipenda,ni nzuri...inafaa sana kutengeneza movie,itabamba. naungana na wachangiaji waliopita,haifai kuwahadithia watoto ama inaweza kuwatisha au kutokana na udadisi wao,wanaweza kutaka kujaribu
 
Ni kweli mkuu, huwa najitahidi ku-summarize kwa sababu malalamiko ya kwamba naandika
stori ndefu yamezidi kuwa mengi, kwa kifupi stori zote zinazofanana na hii ninazoweka humu ni visa vya kweli kabisa vilivyowahi kutokea huko Nchini Marekani na Uingereza, kuna baadhi ya kesi za kweli zilizowahi kutokea hapa nchini ambazo zilikuwa reported ninazifanyia kazi na Mungu akipenda nitaziweka hapa. Kuhusu kuwasomea watoto, ni vyema kuwasimulia yale yampendezayo Mungu, lakini visa vya namna hii ni vyema waklivifahamu pia kwa namna ya kutaka kuwaelimisha kuwa pia yapo matendo mabaya ambayo hayampendezi Mungu na si vyema wakiyatenda.
Kwa kweli wale wahusika wote yaani Natasha na wenzake bado wako Jela kwa sababu walihukumiwa kifungo cha maisha bila uwezekano wa Parole. Waweza kumsoma hapa zaidi.
Natasha Cornett - Wikipedia, the free encyclopedia

Thanks Mkuu, nimekupata, though kwangu naona si vema kuwasimulia watoto stori za kutisha na mauaji. Watoto hunasa sana matukio, na kama ni hivyo tuwafunze the other part of the world, Ulimwengu wa Mungu wa kweli ili tusijekuwa na akina Natasha majumbani mwetu. May be mama zao waliwapa sana stori za hivo utotoni-ni fikra zangu tu, kwani ktk simulizi hii haipo. Nitaisoma hiyo attachment.
 
Ahsante kwa simulizi, pia hongera kwa moyo ulionao juu ya JF! Kwamba unahangaika kwenye sources zako na kutuletea kila kitu hapa kikiwakimetafsiriwa afu mtu analalamika ndefu, ok kila mtu na muono wake ila niendelee kukutia moyo kuwa tunazikubali juhudi zako na upendo wako hvyo kujitendea haki ni bora utupe kitu kwa kadiri unavyoona kinafaa kwa mtiririko bora badala ya kukatakata eti kusummarize kwaajili ya wavivu wachache,
nashauri summary (kwa maana ya summary hasa) uwe unaweka kule kwenye profild wall yako, hvyo hao wavivu waje kule kusoma hyo summary, hapa we mwaga mzigo mzima na tutashare mjadala kwa watu wenye kupenda na kujua maana ya kusoma.

Ok, kuhusu simulizi hili, nadhani ni zaidi ya nguvu za malezi kwamfano huyo binti ameingiwa na roho ya kishetani toka akiwa na miaka 2!
Kulikuwa kuna msaada wa kiroho ilibidi utolewe toka mapema zaidi...
Mi nadhani ni sawa kuwasimulia watoto hivi visa sababu uzuri wake ni kwamba hao watoto wabaya walipata mwisho mbaya hvyo ni rahisi kumuelekeza mtoto ubaya wa nguvu za shetani kwamba unachochea mambo mabaya kama uuwaji na kunyonya damu hvyo mwishoni unafungwa kifungo cha maisha na siku ya mwisho ataenda motoni....

Nasubiria mikasa zaidi, ila naendelea kukusisitiza anza kufikiria ku-document hivi visa kwenye namna ya nakala ili kusambaza kwa wengi kwa malipo fulani, kwa proper records sawa wabongo wa leo hawapendi kusoma je wabongo wa kesho?? Na kama watapenda kusoma je watakuta vitabu vya kusoma??
Hivyo ni sawa kuandika zaidi kwaajili ya wanetu as kwasasa inabidi tuuwe hii roho ya uvivu wa kusoma.
Ahsante!
 
Ahsante mkuu kwa ushauri wako mahiri.
Naahidi kuufanyia kazi ushauri wako.
 
bro hivi hizi thread unazitoaga wapi?zinamafunzo in such.
\
Hizi thread nazipata kupitia vyanzo mbalimbali vya mtandao wa intenet, ninachofanya ni kuchambua na kutafsiri kwa njia nyepesi na yenye kuvutia ili kuepuka kuwachosha wasomaji.
Kwa taarifa yako tu ni kwamba simulizi moja inaweza kupatikana katika vyanzo zaidi ya kumi, ninachofanya ni upembuzi yakinifu ili kupata simulizi yenye mvuto na inayosomeka kwa urahisi na kuwaacha wasomaji wakiwa wamejifunza jambo kutokana na simulizi hiyo.
 
Back
Top Bottom