Walikuwa Mungu mtu 2016-2020 sasa wako wapi?

Walikuwa Mungu mtu 2016-2020 sasa wako wapi?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,278
Reaction score
13,920
Tubadilishe mifumo ya demokrasia na haki. Bila hivyo mabaya yatawarudia. Vyombo vya unyanyasaji na utekaji unavitumia leo lakini kesho utatekwa wewe

Hawa walikuwa Mungu mtu Mungu katuonyesha walikuwa binadamu leo wote wako wapi

IMG_3557.jpeg
IMG_3556.jpeg
IMG_3555.jpeg
IMG_3554.jpeg
 
Hawa niliamini watamshauri jiwe atupe Katiba mpya ila wakalewa madaraka , Jiwe alikuwa mzalendo sana ila alizungukwa na wahuni, wahuni hawaishi, Katiba mpya ni muhimu sana .
 
hivi unajua mavi ya kale yanaweza kuyazidi mavi ya leo
 
Tubadilishe mifumo ya demokrasia na haki. Bila hivyo mabaya yatawarudia. Vyombo vya unyanyasaji na utekaji unavitumia leo lakini kesho utatekwa wewe

Hawa walikuwa Mungu mtu Mungu katuonyesha walikuwa binadamu leo wote wako wapi
"The Pit You Digieth Shall Bury Yourself"

Robert Marley 1979
 
Back
Top Bottom