Mkuu, kauli gani ya kichochezi aliosema Membe ebu nukuu kidogo hiyo kauliHivi ni wakati gani Tanzania ilitakiwa kuonyesha ukali kwa lugha aliyoitumia mheshimiwa Membe kwa Balozi wa Libya nchini? Bila shaka wengi wa Watanzania ambao ni washabiki na wapenzi wa Muamar Ghadaffi wangependa kama nchi tulishikie bango wakati uvamizi ule ukitokea na si leo.
Sasa tumesubiri Serikali ya Muamar imekwisha choka ile mbaya haina hata mhimili hata moja wa kuishikilia leo tunakuja na kauli ya kichochezi ya kutoitambua serikali ya mpito tunaitakia nini Libya? Vurugu? ili tunufaike na nini? Hivi unategemea balozi wa libya amutambue nani yeye hakuwa mwakilishi wa Muamar bali ni mwakilishi wa nchi na kwa maana hiyo anaenda na upepo wa nchi na dunia, na hapa nikisema dunia wala si sauti ya nchi dhaifu kama Tanzania tunaangalia supa power nad rich nationals.
Katika nchi ambayo inaendesha bajeti yake kwa kutegemea msaada kwa zaidi ya asilimia 50 it is very expensive to punch above weight as Membe tried to put our country at risk on unfounded arguements. Amenisikitisha sana kwa sababu amejaribu kujifunika chandarua wakati kumekucha na umbu wamemuuma mpaka wameshiba damu yake. Mimi sijui alikuwa anaota au Tanzania iko usingizini katika hili. The points were straight forward good but said at the wrong time with the right person.
Tanzania yangu inaniuma kwani si ile niliyoizoea wakati wa Dr Ahamedi Salim na mzee wetu Samweli Malcela, Ibrahimu kaduma, na hata Benjamini Mkapa kwa nyakati tofauti waliposhikiria wizara ya mambo ya nje wakati Rubani wa Ndege alikuwa Mwl J.k. nyerere
Jukumu la kutambua au kutotambua nchi liko mikononi mwa Marekani na washirika wake. Sasa nchi masikini kama Tanzania isipotambua Libya ni upuuzi na kujidanganya tu. Jamaa (waasi) jana wamekula USD 15 bln kwa ajili ya kujenga Libya mpya sisi tunaendelea na uvuvuzela tu.

<br />Mwita25! Ah, sometimes you talk sense, but most of the times you talk other-senses (I do not want to write non-sense). Any way, Mwita25, this is good comment from you, I liked it. 'To a good dog, a good bone!'
Jukumu la kutambua au kutotambua nchi liko mikononi mwa Marekani na washirika wake. Sasa nchi masikini kama Tanzania isipotambua Libya ni upuuzi na kujidanganya tu. Jamaa (waasi) jana wamekula USD 15 bln kwa ajili ya kujenga Libya mpya sisi tunaendelea na uvuvuzela tu.
Taata Mwita umegongelea penyewe, kumbe na wewe una ubongo mzuri wa kichambuzi hongera!!Jukumu la kutambua au kutotambua nchi liko mikononi mwa Marekani na washirika wake. Sasa nchi masikini kama Tanzania isipotambua Libya ni upuuzi na kujidanganya tu. Jamaa (waasi) jana wamekula USD 15 bln kwa ajili ya kujenga Libya mpya sisi tunaendelea na uvuvuzela tu.
Mkuu, kauli gani ya kichochezi aliosema Membe ebu nukuu kidogo hiyo kauli
kichocheza l