Walibya na wapenzi wa kanali Muammar Ghadafi wanaishangaa Tanzania

Mghaka

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
320
127
Hivi ni wakati gani Tanzania ilitakiwa kuonyesha ukali kwa lugha aliyoitumia mheshimiwa Membe kwa Balozi wa Libya nchini? Bila shaka wengi wa Watanzania ambao ni washabiki na wapenzi wa Muamar Ghadaffi wangependa kama nchi tulishikie bango wakati uvamizi ule ukitokea na si leo.

Sasa tumesubiri Serikali ya Muamar imekwisha choka ile mbaya haina hata mhimili hata moja wa kuishikilia leo tunakuja na kauli ya kichochezi ya kutoitambua serikali ya mpito tunaitakia nini Libya? Vurugu? ili tunufaike na nini? Hivi unategemea balozi wa libya amutambue nani yeye hakuwa mwakilishi wa Muamar bali ni mwakilishi wa nchi na kwa maana hiyo anaenda na upepo wa nchi na dunia, na hapa nikisema dunia wala si sauti ya nchi dhaifu kama Tanzania tunaangalia supa power nad rich nationals.

Katika nchi ambayo inaendesha bajeti yake kwa kutegemea msaada kwa zaidi ya asilimia 50 it is very expensive to punch above weight as Membe tried to put our country at risk on unfounded arguements. Amenisikitisha sana kwa sababu amejaribu kujifunika chandarua wakati kumekucha na umbu wamemuuma mpaka wameshiba damu yake. Mimi sijui alikuwa anaota au Tanzania iko usingizini katika hili. The points were straight forward good but said at the wrong time with the right person.

Tanzania yangu inaniuma kwani si ile niliyoizoea wakati wa Dr Ahamedi Salim na mzee wetu Samweli Malcela, Ibrahimu kaduma, na hata Benjamini Mkapa kwa nyakati tofauti waliposhikiria wizara ya mambo ya nje wakati Rubani wa Ndege alikuwa Mwl J.k. nyerere
 
Naunga mkono hoja. Tatizo TZ sasa hivi tuna viongozi vipofu, na vilaza wasiojua kusoma alama za nyakati. Tanzania hii hii kwa mkono mmoja imemshikilia Mmarekani na kujipendekeza kwa wamarekani, na kwa mkono mmoja immemshikilia Ghadafi. Kama kawa mshika yote kwa pupa mmoja humponyoka. Sielewi inakuwaje marekani na other super powers wanampiga Ghadafi, af TZ inapingana na NATO, na kwa upande mwingine TZ inaipigia magoti. Umaskini bwana taabu tupu. Ni heri tungekomaa na msimamo wetu mwanzo mwisho kuliko kuwa kigeu geu kiasi hiki.
 
Nahisi Invisible anafanya ubaguzi kwa waanzisha threads

wengine zao zinafanyiwa editing kabla hazijaletwa

wengine wanaazisha duplicate threads zinapita

interesting....
 
Membe struggling to win a certain group of people based on their religious ideology...
 
kila kitu kina wakati na msimu wake,msimu wa wa Gaddafi ni historia,ila ndiyo umeshapita.
 
Kabla hata sijajibu hio post... Please if you don't mind naomba Um-quote Membe tuone hio lugha Kali alotimia... Personally lugha niliona alitumia ya kukurupuka, ukali siku ng'amua...
 
Hivi ni wakati gani Tanzania ilitakiwa kuonyesha ukali kwa lugha aliyoitumia mheshimiwa Membe kwa Balozi wa Libya nchini? Bila shaka wengi wa Watanzania ambao ni washabiki na wapenzi wa Muamar Ghadaffi wangependa kama nchi tulishikie bango wakati uvamizi ule ukitokea na si leo.
Sasa tumesubiri Serikali ya Muamar imekwisha choka ile mbaya haina hata mhimili hata moja wa kuishikilia leo tunakuja na kauli ya kichochezi ya kutoitambua serikali ya mpito tunaitakia nini Libya? Vurugu? ili tunufaike na nini? Hivi unategemea balozi wa libya amutambue nani yeye hakuwa mwakilishi wa Muamar bali ni mwakilishi wa nchi na kwa maana hiyo anaenda na upepo wa nchi na dunia, na hapa nikisema dunia wala si sauti ya nchi dhaifu kama Tanzania tunaangalia supa power nad rich nationals.
Katika nchi ambayo inaendesha bajeti yake kwa kutegemea msaada kwa zaidi ya asilimia 50 it is very expensive to punch above weight as Membe tried to put our country at risk on unfounded arguements. Amenisikitisha sana kwa sababu amejaribu kujifunika chandarua wakati kumekucha na umbu wamemuuma mpaka wameshiba damu yake. Mimi sijui alikuwa anaota au Tanzania iko usingizini katika hili. The points were straight forward good but said at the wrong time with the right person.
Tanzania yangu inaniuma kwani si ile niliyoizoea wakati wa Dr Ahamedi Salim na mzee wetu Samweli Malcela, Ibrahimu kaduma, na hata Benjamini Mkapa kwa nyakati tofauti waliposhikiria wizara ya mambo ya nje wakati Rubani wa Ndege alikuwa Mwl J.k. nyerere
Mkuu, kauli gani ya kichochezi aliosema Membe ebu nukuu kidogo hiyo kauli

kichocheza l
 
Jukumu la kutambua au kutotambua nchi liko mikononi mwa Marekani na washirika wake. Sasa nchi masikini kama Tanzania isipotambua Libya ni upuuzi na kujidanganya tu. Jamaa (waasi) jana wamekula USD 15 bln kwa ajili ya kujenga Libya mpya sisi tunaendelea na uvuvuzela tu.
 
Mkuu, kwa hilo nakuunga mkono, hata tupige mayowe vipi hatuna cha maana, tulishapoteza mwelekeo
 
Nilidhani Watanzania wanamjua Ghadaffi kama Waliberia na Wa Sierra Leone alikofadhili vita vya wenyewe kwa wenyewe, kama kwetu alivyomsaidia Iddi Amini Dadaaaa! ila wengi wamenasa katika mitego yake ya kujifanya anaonewa na Mabeberu kwa ajili ya dini yake na bara lake! yeye mwenyewe kibeberu, aende zake! Gaddafi-Amin-in-Gulu-1973-b.jpg
 
Jukumu la kutambua au kutotambua nchi liko mikononi mwa Marekani na washirika wake. Sasa nchi masikini kama Tanzania isipotambua Libya ni upuuzi na kujidanganya tu. Jamaa (waasi) jana wamekula USD 15 bln kwa ajili ya kujenga Libya mpya sisi tunaendelea na uvuvuzela tu.

Mwita25! Ah, sometimes you talk sense, but most of the times you talk other-senses (I do not want to write non-sense). Any way, Mwita25, this is good comment from you, I liked it. 'To a good dog, a good bone!'
 
<br />
<br />
Thank you for your rather backhanded compliment.
 
Jukumu la kutambua au kutotambua nchi liko mikononi mwa Marekani na washirika wake. Sasa nchi masikini kama Tanzania isipotambua Libya ni upuuzi na kujidanganya tu. Jamaa (waasi) jana wamekula USD 15 bln kwa ajili ya kujenga Libya mpya sisi tunaendelea na uvuvuzela tu.

Mwita tatizo ni umasikini na kujikomba tuu hakuna lolote. Kesho hawawa waasi tutawaomba mafuta we subiri tu !
 
Kidiplomasia, Membe hakutakiwa kuongelea jambo lile kwa hisia kali kama zile alizoonyesha. Hili jambo lingetakiwa kutolewa tamko la kimaandishi kuwa bado serikali inatazama matukio ya Libya kwa sasa. Kauli hizo za Membe zinaweza kuleta athari mbalimbali za kidiplomasia, kiuchumi hata kisiasa kwa Tanzania hapo baadae. Mark my words!
 
Jukumu la kutambua au kutotambua nchi liko mikononi mwa Marekani na washirika wake. Sasa nchi masikini kama Tanzania isipotambua Libya ni upuuzi na kujidanganya tu. Jamaa (waasi) jana wamekula USD 15 bln kwa ajili ya kujenga Libya mpya sisi tunaendelea na uvuvuzela tu.
Taata Mwita umegongelea penyewe, kumbe na wewe una ubongo mzuri wa kichambuzi hongera!!
 
Mkuu, kauli gani ya kichochezi aliosema Membe ebu nukuu kidogo hiyo kauli

kichocheza l

Balozi ni alama ya nchi yake katika nchi ya kigeni, na kwa hiyo kumwita na kumwambia telemusha hiyo bendera kidplomasia hiyo lugha inatambulika kama kalipio kali. There is always a predetermined sense of behaviour in diplomatic relations, bendera ile imepandishwa na walibya wenyewe katika ardhi waliyopewa na Tanzania. Leo tumewalazimisha wakateremshwa je baraza la mpito wanaielewaje Tanzania. Tunawahakikishia nini maelfu ya walibya waliounga mkono mapinduzi yale? Je mali ya Libya ambayo inasemekana iko Tanzania kwa mgongo wa watawala hao tunao walinda tutaipeleka wapi? Hivi hizi kanuni za mwenendo wa mabalozi hazikuhusu vyama vya wapigania uhuru ambavyo Tanzania iliwahi kuwa ni kama nyumbani kwao na kwa hiari yao na Tanzania yenyewe haiwezi kuwa sawa na vuguvugu la kaskazini mwa Afrika
 
Jukumu la kutambua au kutotambua nchi liko mikononi mwa Marekani na washirika wake. Sasa nchi masikini kama Tanzania isipotambua Libya ni upuuzi na kujidanganya tu. Jamaa (waasi) jana wamekula USD 15 bln kwa ajili ya kujenga Libya mpya sisi tunaendelea na uvuvuzela tu.

I thought the so called USD 15 billion belongs to Libya which by the way will be paid to European companies which are busy negotiating reconstruction contracts with the new Libyan leaders
 
Hapa hatuna viongozi tunayo mavuvuzela tu, West wakisha tambua wengine ni kuimba kiitikio. Hata ukipinga ni useless
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom