Wali maharage!

Wali maharage!

Mkuu umeona miguu ya kuku tu hapo, hukuona nyama?
Miguu ya kuku kwa matajiri wa chakula inatupwa, kichwa kinatupwa hadi ngozi ikiwezekana ya kuku inatupwa

Ila ukiwa masikini wa chakula unakula hizo kwato, karibu kijijini kwetu ujionee
 
Wakuu...
My delicious Food!!!
Aiseee leo nimeiupiga mchana mpaka sasa nimetosheka napata zangu matunda nilale tu hapa...

Nilipokula leo nitakuwa mteja wake wa kutupwa....
afu baba zako wa jf wanaiponda fesibuku
 
sio tena uanze kutengeneza mazingira ya kulabure(utongoze mpishihuyo) ili ukiwa alosto uweunakula bure

wagalatia nyie tabia zenu mnazijua wenyewe
 
Back
Top Bottom