The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Imagine mtu kala mchana bado na usiku tena anakula matunda 😂.waafrica mnapenda kula sana.
Anyway karibuni wakuu niko dinner hapa
#TuleSana
Imagine mtu kala mchana bado na usiku tena anakula matunda 😂.waafrica mnapenda kula sana.
Hawa ruhusu tumbo lipitishe upepo hata kidogo,Imagine mtu kala mchana bado na usiku tena anakula matunda 😂.
Anyway karibuni wakuu niko dinner hapa
#TuleSana
Mkuu umeona miguu ya kuku tu hapo, hukuona nyama?Kula mamiguu ya kuku ni umasikini
Huo huo mkuu ,na kachumbari kwa mbaaliiSante sana mkuu ni wali maharage auuuu?
huwezi kuelewa enzi zetu tunakua wakipika wali kwanz siku hiyo mnaoga mapema sura zimejaa tabasamu kicheko kwa mbali kisa wali.Nani kasema ni cheka na watoto huyo?
Miguu ya kuku kwa matajiri wa chakula inatupwa, kichwa kinatupwa hadi ngozi ikiwezekana ya kuku inatupwaMkuu umeona miguu ya kuku tu hapo, hukuona nyama?
afu baba zako wa jf wanaiponda fesibukuWakuu...
My delicious Food!!!
Aiseee leo nimeiupiga mchana mpaka sasa nimetosheka napata zangu matunda nilale tu hapa...
Nilipokula leo nitakuwa mteja wake wa kutupwa....
no mkuu, wali arage n ngumu kumpa mtu kitambi enjoy yourselfduh unanitisha au?
"Wali bila maharage ni uharibifu wa mchele" ~ BICHWA KOMWE - (1914)Wakuu...
My delicious Food!!!
Aiseee leo nimeiupiga mchana mpaka sasa nimetosheka napata zangu matunda nilale tu hapa...
Nilipokula leo nitakuwa mteja wake wa kutupwa....
Kula na kunyawaafrica mnapenda kula sana.
Hakika"Wali bila maharage ni uharibifu wa mchele" ~ BICHWA KOMWE - (1914)