Walevi watatu

Walevi watatu

sir Ganto G

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
573
Reaction score
114
Walevi watatu waliita taxi, Dereva taxi alipowaona wamelewa chakari akawasha gari na halafu akazima, walevi wawili wakampa hela na kumshukuru.
Yule wa tatu akamnasa kibao dereva, Dereva akashangaa kuwa amejuaje kamchezo alikowachezea,
Halafu akasema "siku nyingine usikimbize gari hivo utakuja kutuua".
 
Haahaahaa! Hapo had dereva naye nahisi alikuwa kalewaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom