Ni moja ya mambo na sio yote......fanya mambo mengine ambayo mtoto hatakiwi kufanya mfano kujenga nyumba nenda kajenge tuone mtoto afanye....Moja ya mambo asiyotakiwa kufanya mtoto ni pamoja na kunywa pombe na kufanya ngono.
Haya ni mambo ya mtu mzima tu sasa nashangaa mnaogopa kunywa pombe wazee shida nini? Kunyweni pombe kikubwa msizidishe mpaka mkafanya mambo ya ajabu kwenye jamii
Watu wa aina ya mleta maada huwa wana stress za maisha na wenyewe ndio wanahitahi uponyaji wa nafsi kuliko wanaodhani.Na kutwa kucha kuwasema wanywaji.. utawasikia... ANGEKUWA MBALI SANA YULE, TATIZO POMBE..!! Uliza sasa alivyonavyo yeye..!! Utashangaa... ukimwambia akuonyeshe alivyosevu kwa kitokunywa pombe, HANA KITU.... na wanywaji wengine wamewaacha mbali wanywa juisi kimaendeleo
Wewe ni mmoja wa mafala,mwache dogo ale bia ,nyie si mnaendekeza chini,kila mtu anauhuru wa kuchagua,wakati dogo anakula bia we uko gesti unafanya umalayaMlevi ni mlevi tu hata kama unakunywa bia mbili kwa siku bado hiyo ni pombe.
Kuna jamaa tunafanya naye kazi anatumia nguvu kubwa kujitetea kuhusu ulevi wake baada ya heshima yake kushuka. Hadi namuonea huruma.
Kuna baadhi ya ofisi huwezi kuaminika au kuheshimika kama unatumia kilevi.
Vijana tuwe makini na pombe, usifanye vitu kwa kufuata mkumbo ili uonekane na wewe wa kisasa.
Pombe itakuharibia kazi, heshima yako, ndoa yako na uhusiano wako na jamii.
Nimefaya uchunguzi binafsi kwenye taasisi tofauti, watu wasiokunywa pombe wanaaminiwa na kuheshimika kuliko wasiotumia kilevi.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
WANASHUSHA POVU BALAA, HA HA HA ngoja niagize popcorn.Mzee umeamua kuwafokea vijana walevi[emoji23][emoji23][emoji23]
Waambie mkuu...Kweli kabsa pombe siyo kitu kizuri hata kidogo. Kuna siku nilisoma Uzi humu et imefama member wa humu kafa acheni pombe
Kweli mkuu. Ulevi ni tatizo. Na wengi hawajui watokaje. Wamebaki kujifariji tu.Kuna wengi wameingia huko bila kutegemea kinachotukumba wengi tunadhani ndo suluhisho LA kupunguza stress na ni changamoto kubwa saaana
Chanzo cha taarifa yako hii na kwanini tukuamini?...Tusipokunywa pombe tunaweza kushuka tena kwenye uchumi wa Kati.
Asante mkuu. Huwa nawaonea huruma sana wanapojitetea. Mara mimi nakunywa kwa mahesabu, mara ninaweza kuendesha gari nikiwa bwii. Yaani wanatumia nguvu kubwa sana.
Wewe uko Bar mkeo analiwa kimasihara na wahuni huko mtaani.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Ulichoandika kwenye heading na content yake naona ni tofauti,hujaeleza ni kwa vipi wanajifariji.Mlevi ni mlevi tu hata kama unakunywa bia mbili kwa siku bado hiyo ni pombe.
Kuna jamaa tunafanya naye kazi anatumia nguvu kubwa kujitetea kuhusu ulevi wake baada ya heshima yake kushuka. Hadi namuonea huruma.
Kuna baadhi ya ofisi huwezi kuaminika au kuheshimika kama unatumia kilevi.
Vijana tuwe makini na pombe, usifanye vitu kwa kufuata mkumbo ili uonekane na wewe wa kisasa.
Pombe itakuharibia kazi, heshima yako, ndoa yako na uhusiano wako na jamii.
Nimefaya uchunguzi binafsi kwenye taasisi tofauti, watu wasiokunywa pombe wanaaminiwa na kuheshimika kuliko wanaotumia kilevi.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Asante mkuu. Huwa nawaonea huruma sana wanapojitetea. Mara mimi nakunywa kwa mahesabu, mara ninaweza kuendesha gari nikiwa bwii. Yaani wanatumia nguvu kubwa sana.
Wewe uko Bar mkeo analiwa kimasihara na wahuni huko mtaani.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Kha!kha!khaaa!!!.Shida sio kuacha pombe, unaacha unamuachia nani?
Sawa mkuuSisi wazee wa drilling mabosi wetu wengi wanakula sana mtungi na fegi so kama hutumii kimoja kati ya hivyo anakuona snitch na ni ngumu kuwa rafiki yake. So swala la kuaminika ofisini nadhani inategemea na aina ya kampuni na mabosi
Kama hunywi pombe, hiyo kazi faida yake nini sasa?Mlevi ni mlevi tu hata kama unakunywa bia mbili kwa siku bado hiyo ni pombe.
Kuna jamaa tunafanya naye kazi anatumia nguvu kubwa kujitetea kuhusu ulevi wake baada ya heshima yake kushuka. Hadi namuonea huruma.
Kuna baadhi ya ofisi huwezi kuaminika au kuheshimika kama unatumia kilevi.
Vijana tuwe makini na pombe, usifanye vitu kwa kufuata mkumbo ili uonekane na wewe wa kisasa.
Pombe itakuharibia kazi, heshima yako, ndoa yako na uhusiano wako na jamii.
Nimefaya uchunguzi binafsi kwenye taasisi tofauti, watu wasiokunywa pombe wanaaminiwa na kuheshimika kuliko wanaotumia kilevi.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Aliwe tu, ila pombe hatuachi ng’ooAsante mkuu. Huwa nawaonea huruma sana wanapojitetea. Mara mimi nakunywa kwa mahesabu, mara ninaweza kuendesha gari nikiwa bwii. Yaani wanatumia nguvu kubwa sana.