Walevi wa pombe someni hapa

Walevi wa pombe someni hapa

So umemsaidiaje kwa kuzidi kumuanika?Je, usingeweza kufikisha ujumbe wa kukataza pombe kivingine? A little sensitivity!!

Kweli kabisa! Huyu jamaa kamtangaza umavi mwenzie!
:focus:
Sometimes najiuliza sana, inakuaje unalewa hadi unapoteza nguvu na fahamu?

Mbona hali hiyo haitokei walevi wote na actually wanaolewa hivyo ni wale wale siku zote! Tatizo nini hasa? Ni mata ya psychology or ya kiafya?
 
sijui baadhi ya ME wameingiwa na mdudu gani vichwani?

Ndugu yangu internet na DVD za Ngono zinazidi kubadilisha mawazo ya jamii inapofika mambo ya Ngono jinsia zote zimekubwa na balaa hilo unakuta kike kwa kiume wanangalia na kujaribu walichokiona huku walipata visingizio eti wanaepusha mimba kwa sasa isitoshe hao walevi wengine hunywa na kujiangusha kwa makusudi wakijuwa nini wanakitafuta wafanyiwe hizo kesi zipo nyingi .
 
nakubaliana na wewe hizi internet na dvd ndio kichocheo kikubwa na zinawaathiri ki psychology sana bila wao kujijua
 
Huyo anapenda kuliwa tigo tu na wanaume nao wana roho ngumu aisee
 
COARTEM umeonaje makalio wkt kwenye picha jamaa kavaa suruali na kanga juu na hiyo harufu inawezekana kajinyea sabab ya pombe au alianguka toilet huko kilabuni. Amelewa kwa starehe zake pombe tamu usithubutu kuonja.
 
Last edited by a moderator:
COARTEM umeonaje makalio wkt kwenye picha jamaa kavaa suruali na kanga juu na hiyo harufu inawezekana kajinyea sabab ya pombe au alianguka toilet huko kilabuni. Amelewa kwa starehe zake pombe tamu usithubutu kuonja.

Hiyo ni baada ya kumsitiri, tukiweka picha kabla ya kusitiriwa ni hatari tupu....believe me.
 
Huyo anapenda kuliwa tigo tu na wanaume nao wana roho ngumu aisee

Si wanume tu Dada mengine tuyawache tufunike kombe sasa imekuwa fesheni kina dada kujibiruwa kama vile funza ili wasipate mimba na pia wanasema wanapata Raha zaidi huko soma zaidi ujionee inasikitisha
 
Mada kama hii sio nzuri kwani zinatufundisha uhuni na ushenzi na kutuchumisha dhambi isiyo ya lazima
 
Nasikia mwanamke aikupa tigo huwezi kumuacha na pesa zote zitaishia kwake. Nisamehewe siwezi kufanya utafiti mimi binafsi

Tuna wajuzi Wengi tuu humu jamvini watakuja na ushuhuda kamili na picha juu
 
Back
Top Bottom