Walevi nawaomba hapa leo

Omurushaka _kyerwa _Nkwenda_Kayanga ๐Ÿ™Œ Tanzania ni kubwa sana aisee
TZ Ni kubwa sana.
Na Kule ni mbali sana aisee.

Kuna kadada tulikutana nae kule Nkwenda , kwa kukisia ni kama hajavuka 23 yrs hivi.
Wakat tunakutana nae tulikuwa weng weng. Kakasalimia , mm nikagona shikamoo, kiutan utan na nikasema ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ww rika langu.

Akaondoka. wenyej ndio wakaniambia yule msichana ameolewa na ana watoto 6 .
Dah ๐Ÿ™Œ ๐Ÿ™Œ.
kumbe mm ndio nilitakiwa kukasalimia. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Watu wa pande zile wana vizaz aisee.
 
Misosi uhakika kule na pia vijana wadogo walau miaka 18 kupanda juu wanahamasishwa sana kuoa basi ni hapo mtoto asipoendelea na mambo ya shule si ajabu kijana wa miaka 17 eti naye ana mke ๐Ÿ˜€
 
Nilikua na muda mrefu sijasafir Leo ndio imetimia week tangu nilipo ondoka ALHAMISI week iliyo pitaa...

Jana kuanzia dodoma mvua sanaa mpaka dar es salaam..

Kuna eneo tulikuta ajari ya gari Costa ya chuo cha udom na gari ndogo zimepasuana vibaya..

Asante sanaaaaaa kaka tulifika salama dar es salam
 
Pole Mzee.

Km 1,100 sio mchezo.
Kuna kipind nilisafir kwa Bus. Kutoka Dar - Kagera- Omurushaka - alaf kwa private kutoka Omurushaka -Kyerwa - Nkwenda.

Sijawah safiri safari ndefu namna ile.
Masaa 27 uko kwa gar.
Km 1,400 hiv
Yeah , hata madereva Huwa Wana kili kua dar es salaam _ bukoba ni mbali sana.. pia mwanza songea pia ni mbali sana..

Muda mrefu sikua nimesafiri kilometer nyingi ivyo acha mzee sio mchezooo
 
Siku ya kutoka unatangazia umma wa JF kua tunaenda kulewa ili ukipotea wajue pakuanzia๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Sure kumbe muoga


YES nimebadili jina mkuu
Ntatangazia woteeeeeee na rafiki zangu humu ntawapa taarifa

ILI wakiona kimya waanze kusema bring back ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ