Walevi bana! Kufa kufaana

Ulabu wa bureee bwelele! Ole wako kama wewe si mnywaji wa kila siku utabebwa
 
duh hapo patamu. ni wapi vile km ni dar nikimbie fasta!! nina hamu ni kitu cha lager
 
hahahaaaaaa,hapo watasahau hatauchanaji wa lebo
 
Watu wanahalaka sana wameshafungua na kunywa
 
Yaani hapo wanapiga za fasta fasta watu wakijaa wanakuta washapombeka. Si bora wangebeba waweke na nyingine za kesho.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…