Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

US $159.99 | Global Version Xiaomi Redmi Note 6 Pro 64GB ROM 4GB RAM (Brand New and Sealed) note6 pro
https://s.click.aliexpress.com/e/M7pwbtO

Mwl.RCT bei ngapi hii mpka inafika mfukoni kwangu
Hiyo ni around 400K Kulingana na link uliyotoa ila seller haship Tanzania hapo ndio penye shida.
Kuipata mpaka utafute seller anayetuma tz na ukimkosa aliexpress inabidi uhamie Gearbest au banggood ambao bei zao zinakuwa zimechangamka.
Kwanini usitafute redmi note 7 au 7pro (Chinese version) Badala ya hiyo RDN6 pro?
1135375
 
Kwann unauza? Sh ngapi?
Lete 400k nikuachie yangu nimeichukua mwezi wa 2 kama hutaki kusotea simu mwezi mzima huko aliexpress ina kila kitu chake.

Note: Haiko sokoni ila kama utanishawishi na hilo Dau utanivua maana mimi sikuchukua bei hiyo mzee ni note 6 pro 3 RAM 32GB black.

Au agiza.
 
Xiaomi zitatuua mazee ata mm yangu redmi 7 alete tu mia nne tu
 
Unasubir mzigo mzima na ukifika unawaza Dah watu custom watapita nao nini yaani ile siku unatoka hapo Posta teller kama hujaguswa na T.R.A ukifika nje unashukuru kwanza😂.
Live m nilichanganyikiwa nikadhani ndugu yangu mr mobile labda ameenda kuwekeza kwenye zabibu huko Dodoma kumbe laah
 
Back
Top Bottom