Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kiongoz nataka kuilink mpesa mastercard yangu na paypal nakwama au bado mpesa mastercard haina uwezo huo
mpesa mastercard inakubali bila shida. Ukisha add hiyo card ifungue hiyo card na chagua confirm card >>> get code. Hapo kuna kiujumbe cha mhamala kitakuja kwenye simu yako huwa kinakuwa na code number nne hizo ndio utaziingiza pale kuconfirm card. Hakikisha card ina hela kama $1 maana inakata pesa kidogo ili upate hizo codes
 
Sidhani Maan Watu tracking zimeanzia RB, RP na tumelipishwa kama kawa.
Hizo registered mail sijawahi lipia. Na hiyo niliambiwa na mfanyakazi wa posta. Wasije kuwa wametia mfukoni, maana hata kama unalipia sikuizi inabidi ulipie kidigitally sio mkononi
 
Hizo registered mail sijawahi lipia. Na hiyo niliambiwa na mfanyakazi wa posta. Wasije kuwa wametia mfukoni, maana hata kama unalipia sikuizi inabidi ulipie kidigitally sio mkononi
Unapewa na EFD receipt kabisa mkuu.
Yawezekana ni mapato ya ndani kila posta imeruhusiwa kukusanya so wengine wanafanya na wengine wa napotezea (Sina hakika lakini)
 
Haina pesa ndio maana mkuu nilikua najaribu jiunga na bangoods ila sijakielewa kipengele hii hicho
 
Package arrived..free shipping hii ndan ya wiki mbili tu mzgo umetua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…