Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wakuu habari hebu naomba tuzijadili hizi Mi beard trimmer za hii kampuni yetu pendwa ya xiaomi .
Kiukweli sina uzoefu nazo ila nahitaji kupewa model mbalimbali hapa ambazo pengine wana jukwaa mmetumia ,ili niweze kuchagua ambayo itanifaa kwa matumizi ya nywele kichwa na ndevu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…