Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
2,401
2,000
Hello wanajukwaa natumai ni wazima wa afya!

Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.

BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.

KARIBUNI
 

Honestty

JF-Expert Member
Sep 24, 2018
4,912
2,000
Free shipping labda kwa vitu vidogo ( China post small packet plus) maana inachelewa kinyama.
Wengine wanaandika "estimated d.time is null day" yan haijulikan au utapata refund...kuna koti nalitaka tangu juz mana niliko kuna kuna baridi sana..linauzwa 22K+ ila sasa shipping yake ni 65K+ so total inakua 88K hiv na lipo fresh sana..kwa njia ya kawaida shipping ni 65K..nimeamua niliache tuu..hakuna free
 

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
2,401
2,000
Wakuu habari hebu naomba tuzijadili hizi Mi beard trimmer za hii kampuni yetu pendwa ya xiaomi .
Kiukweli sina uzoefu nazo ila nahitaji kupewa model mbalimbali hapa ambazo pengine wana jukwaa mmetumia ,ili niweze kuchagua ambayo itanifaa kwa matumizi ya nywele kichwa na ndevu pia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom