Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wakuu habari hebu naomba tuzijadili hizi Mi beard trimmer za hii kampuni yetu pendwa ya xiaomi .
Kiukweli sina uzoefu nazo ila nahitaji kupewa model mbalimbali hapa ambazo pengine wana jukwaa mmetumia ,ili niweze kuchagua ambayo itanifaa kwa matumizi ya nywele kichwa na ndevu pia
 
View attachment 1143394View attachment 1143395

Nimeamua kumkimbia Tim Cook baada ya Sir Jony Ive kuondoka. I hope MIUI wont disappoint me.
xiaomi ni noma sana. Now naenjoy tuuh dual app and hii feature ya second space ndo komesha ya michepuko. Nimeinstall Gcam ila naona iko slow kurespond when taking a photo. Wadau naombeni stable version ya Mi Redmi Note 7 pro.
Screenshot_2019-07-09-19-44-02-681_com.android.settings.jpeg
 
40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom