Hehe..yan mkuu kwa kusifia hiki kitu hujambo..bado naendelea kujipanga kikamilifu nibebe google pixel 3xl potelea mbali..hehe nijikaze kiume zaid ninyanyue google pixel 4XL inayotoka mwaka huu
Unanicheka n link ulinipa mwenyewe .au umepata tayari hio kamera unisaidie apa nifaidiMzee baba
Unanicheka n link ulinipa mwenyewe .au umepata tayari hio kamera unisaidie apa nifaidi
Wanazo wapo kamili mm pia nilnunua simu kwao redmi 6 na cover + protecta mpkaa leo na enjoy tuWana Accessories zake boss au ni simu tu tupia namba nami PM nitimbe.
Hahaaa redmi 7 ilivyosetewa hii lazima iuzwe kwa faida mbali na hapo mita kipanga kubadili simu mwakani July nikimaliza mkopo mzee baba au wakitupiana link hiyo nidownload ili nikae na kimeo mpaka mwisho .panapo majaliwa ninunue flag ship mjomba akitoka madarakaniSikucheki mkuu ...tulisema uuze hiyo
Protector zao wanauza kiasi gani za hiyo redmi note 6 pro na coverWanazo wapo kamili mm pia nilnunua simu kwao redmi 6 na cover + protecta mpkaa leo na enjoy tu
Mkuu hii nimekusudia kabsa kubeba pixel..Mkuu hiyo kitu balaa,,nashangaa watu wana note 7 humu hawajaiweka hadi sasa
Ukifanikiwa kupata hiyo pixel ndio utakua unemalza kazi mkuu,sema inabidi ujilipue kweli
Mr. Mobile ongea na huyu jamaaAnayeweza kunisaidia jinsi ya kupata Redmi Note 7 kwa kuagiza msaada tafadhali.
Hiko kidudu kilichochomoza ni nini hapo juu ya simu tutiane ushamba plzNaona cc9 na mi 9T hukuView attachment 1145465View attachment 1145466
Heheh hiyo ni camera ya mbele nafikirHiko kidudu kilichochomoza ni nini hapo juu ya simu tutiane ushamba plz
Huna uhakika mkuu au nikubaliane nawe tu .xiaomi wanajua aisee natamani niwe mabadiliko simu kila after 6xema uwezoHeheh hiyo ni camera ya mbele nafikir
Nina uhakika hiyo ni camera ya mbele....xiaomi wameteka watu na inazidi kuteka zaidi...angalia usimalize mtaji kweny simu mkuuHuna uhakika mkuu au nikubaliane nawe tu .xiaomi wanajua aisee natamani niwe mabadiliko simu kila after 6xema uwezo
Duuuh wanavitu adimu xana mkuu yaani we acha tu mfano hiyo dark mode na second space Acha kabisa aisee.Alafu naset vipi data ziwe zinajiwasha na kujizima automaticallyNina uhakika hiyo ni camera ya mbele....xiaomi wameteka watu na inazidi kuteka zaidi...angalia usimalize mtaji kweny simu mkuu
Hehe mkuu hapo unanionea sasa...mi niko bado kweny samsung huku, najipanga taratibu nihameAlafu naset vipi data ziwe zinajiwasha na kujizima automatically
WanatumaSijaelewa hapa ebu elezea kidogo mkuu umeagiza hilo soko au umemuagiza mtu aliyekuwa india kaja nayo au kakutumia na kukutumia kiasi gani na inakuaje ebu funguka vizuri kama inawezekana maana aliexpress hazigusiki na pia hawatumi Tz hizo.
DaaaahSorry boss picha nlizopiga zote sio nzur kuweka jf imenibidi ntoke nje nipige zingine mkuu wangu ambazo ni common...nmeogopa ban kutoka kwakoView attachment 1138785View attachment 1138786View attachment 1138787View attachment 1138788View attachment 1138790View attachment 1138791