Wale wote tunaodaiwa na mitandao ya simu tukutane hapa, tupeane ushauri

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,244
Tumekuwa tukiishi kwa wasiwasi sana hasa tukitumiwa pesa tunakimbilia kwa mawakala kama hatuna akili nzuri. mimi kidogo nime-advance, natembea na namba za wakala za kutolea pesa.

Ila kuna siku nimesinzia kwenye daladala kushtuka pesa wamezilamba. Sasa nadaiwa laki nne wakinijumlishia riba yao sijui itakuwa kiasi gani wananidai. Mimi binafsi sijasajili kwa alama ya vidole, japo nayo inawabagua wakoma wa vidole wasimiliki simu.

Na declare interest: Im the first one to announce line yangu inaenda kufungwa. Sasa basi, japo nia ya kuwalipa bado ninayo coz wananidai. Pia nitasajili kwa mtandao mwingine after 31/12/2019.

Je, nitawezaje kuwa lipa deni lao pindi mambo yangu yakinyooka.

Au kitendo chao cha kuifunga line yangu itakuwa imevunja mkataba wao na mimi?
 
Mkuu uliwezaje kuwakopa laki nne?

..........Mimi nataka wanikopeshe laki tu nipite hivi
 
Tumekuwa tukiishi kwa wasiwasi sana hasa tukitumiwa pesa tunakimbilia kwa mawakala kama hatuna akili nzuri. mimi kidogo nime-advance, natembea na namba za wakala za kutolea pesa.

Ila kuna siku nimesinzia kwenye daladala kushtuka pesa wamezilamba. Sasa nadaiwa laki nne wakinijumlishia riba yao sijui itakuwa kiasi gani wananidai. Mimi binafsi sijasajili kwa alama ya vidole, japo nayo inawabagua wakoma wa vidole wasimiliki simu.

Na declare interest: Im the first one to announce line yangu inaenda kufungwa. Sasa basi, japo nia ya kuwalipa bado ninayo coz wananidai. Pia nitasajili kwa mtandao mwingine after 31/12/2019.

Je, nitawezaje kuwa lipa deni lao pindi mambo yangu yakinyooka.

Au kitendo chao cha kuifunga line yangu itakuwa imevunja mkataba wao na mimi?
Hahahah dawa ya deni ni kulipa sio kukimbia.
 
Kinacho Kushinda Kuitupa Hiyo Line Kitu Gani?.
 
Back
Top Bottom