Wale wenzangu wa IT mpoapi?

Wale wenzangu wa IT mpoapi?

mrpius

New Member
Joined
Jan 3, 2017
Posts
3
Reaction score
3
Nina Certificate ya IT na nataka niitumie kujiajiri hivohivo, kazi hakuna, sasa natafuta wenzangu wenye mpango kama wangu, wa kujiajiri. Naomba tutaftane ili tusaidiane mawazo, mi binafsi nataka kuwekeza kwenye Mambo Ya Graphics, hata kama hatuna pesa najua tukiwa karibu tunaweza kufanya kitu +255 713 100 279
 
Elezea unataka kufanya nini na hizo graphics
 
Back
Top Bottom