co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,463
- 2,259
Ila GPA sometimes ni za kununua tu
Enzi nasoma chuo nilisoma na mzee mmoja mfanyakazi wa SWISSPORT kila semester ana SUP za kutosha ila mwisho wa siku ana GPA ya 4.2
Wa pili alikuwa mrembo mmoja Mash_Allah kutoka Pemba huyu alikuwa kilaza kupitiliza kama mjuavyo hawa wavisiwani ni weupe sana kichwani (no offense) huyu hadi masomo alikua ana_carry ila mwisho wa siku hakua na karai (C) hata moja.
GPA ain't mean anything zaidi ya uwezo wa kukariri tu
Mkuu si uache uongo? Au chuo chenu saut huwa baada ya supp grades zinaongezeka…Kwa wa sisi MIT ukiwa ns supp hata kama utapata 85 wewe grade ni C tu…Sasa kama alikuwa anapata supp kila semister means hawez pata gpa hiyo ya 4.2