wale wazamani

wale wazamani

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
553809_455554884467616_387563235_n.jpg
 
Hahahhahahahha kumbe zamani wanaume walikua wanavaa high heels? Lol
 
mkuu, peleka uzi huu, ktk uzi wangu: 'wale wa zamani kidogo...'
 
Hahahhahahahha kumbe zamani wanaume walikua wanavaa high heels? Lol
na vile vishati vya kubana(vifungo vinafunguliwa mpaka kifuani)...na suruali chini imechanua...na afro la nguvu + chanuo inawekewa hapohapo!!!
 
Hiyo raizoni nimevaa sana tu pamoja n.a. Buga na juu unaweka afro shanuo pembeni kishati cha kubana watoto hapo wanajileta wenyewe aaaaaaa enzi zimepita
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom