e bana e mimi nikiwa chuo nilisoma sana interview qns na dressing colour
zilinisaidia sana, coz me kila kazi niliyoomba niliitwa interview...nilitwa delloitte, pwc, kpmg, MFI, SOS, Traffic...
lakini leo sehemu nilipo JINA LA BWANA LIBARIKIWE, Maana kama ni overtaking niliyofanya it has changed totally my life, Mungu anatusikia tukimwomba kwa unyenyekevu, usiache kuhangaika mpaka ufanikiwe.....asikudanganye mtu
jiajiri huku ukitafuta ajira, usibweteke
Kwenye Blue unamaanisha ulikua unasoma yale general questions yanayoulizwa kwenye interview? Kama Tell me about yourself? Why should we hire you?
Kwenye Red sijakupata mkuu.
Nilipiga interview shule moja inter hapa dar..waliniuliza toka umalize chuo ushaaply sehemu nyingine? Nikawajibu "ndio" sehemu nyingi plus za tutorial vyuoni..wakaonngeza tena umeitwa hata sehemu moja? Nikasema "hapana", wakaendelea unajua tatizo ni nini? Akadakia mwingne kwny panel akasema mdogo wangu tatizo lako ni x perience na wadhamini wako.. Akaendelea kuwa tayari kufanya kazi ili upate x perience una vyeti vizuri lakin x perience tatizo. Niliumia sana ila mwishoni waliniambia kama kawaida ya interview tutakupigia simu.
Hafu hadi leo hawajapiga?
Mkuu, hapo kwenye wadhamini, ulielewa wanamaanisha nini? Walivosema tatizo ni wadhamini wako.[/QUO
wamenipigia simu mkuu na nshasign deal, wadhamini ukiweka watu waliokufundisha chuo ina sound sana coz ni recently thn ni watu wanaoaminika kwa umakini wao kuliko kuweka watu ambao si wa carrier yako. mf bro, father au mwalimu wa mkuu sekondary uliyopita inakuwa haisound kama ukiweka lectures waliokufundisha wanaoweza kutoa taarifa zako positively