GKM
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 738
- 324
umekurupuka bro ;kampuni moja inaweza ajiri watu zaidi ya 2
Umekurupuka pia, huyo sio bro
umekurupuka bro ;kampuni moja inaweza ajiri watu zaidi ya 2
Mkuu hapo namba 8 tueleze unavoweza tumia akili bila pesa km mtaji! Honestly, HAIWEZEKANI.
nilikuwa na msemo mmoja nimekuja chuo kutafuta ujuzi sio cheti kama chetini 4 na 6
Me ni mwanamke ka huna uhakika wa jinsia tumia MKUU it sound much better
and what was you trying to say...I didn't catch U
Mkuu hapo namba 8 tueleze unavoweza tumia akili bila pesa km mtaji! Honestly, HAIWEZEKANI.
halafu kuna watu hawako serious kuna siku tulikuwa tumetoa nafasi za kazi zikaja CV unakaa
unajiuliza IS THIS PERSON SERIOUS!!!!!!!!!!!nyie mnaoomba lazi muwe basi serious katika uandikaji
wa CV zenu na hizo cover letter
Interview ilivofika ilikuwa vituko tunajua kiingereza kilikuja kwa meli lakin tujitahidi jamani maana
it is a disaster when it comes to ORAL INTERVIEW maana kuna mtu tulimuuliza why should we hire
you? YESU NA MARIA alivyojibu naomba niishie hapa.unaweza kuwa unalalamika kila siku hupati kazi
kumbe wewe mwenyewe ndio tatizo
nawatakia kila la kheri Ndugu zangu
Inawezekana. Inategemea na knowledge uliyonayo. Mfano kama upo vizuri unaweza ukajiajiri ukafanya kazi za consultancy, research, kuandika proposal, business plans n.k. Utaniambia utahitaji pesa kidogo, yes, lakini watu huwa wanatoa advance!!
Mkuu Naomba nitofautiane na wewe kidogo.
Ili uweze kuanzisha Consultancy/Research Firm amayo itaweza kutoa au kufanya real market researches unahitaji
resources kama; Human, Research aids, Statistical aids, physical/permanent office, ambavyo vyote hivi vinahitaji
Capital ili uweze kua navyo, kinyume cha hapo ni ujanjaujanja na huyo mteja wako aki spear time anaweza akafanya
hiyo research/study/B.plan by himself.
Mh, kweli lugha ya malikia ilikuja kwa meli, kama hapo kwenye red papo hivyo mbona unawashangaa muliowafanyia usaili?
Nilipiga interview shule moja inter hapa dar..waliniuliza toka umalize chuo ushaaply sehemu nyingine? Nikawajibu "ndio" sehemu nyingi plus za tutorial vyuoni..wakaonngeza tena umeitwa hata sehemu moja? Nikasema "hapana", wakaendelea unajua tatizo ni nini? Akadakia mwingne kwny panel akasema mdogo wangu tatizo lako ni x perience na wadhamini wako.. Akaendelea kuwa tayari kufanya kazi ili upate x perience una vyeti vizuri lakin x perience tatizo. Niliumia sana ila mwishoni waliniambia kama kawaida ya interview tutakupigia simu.
sori si ugovi lengo ni kuwekana sawa,ila amini hakuna nchi ilioendelea kwa kuwa na wasomi wengi,find challenges in ur society andcome up with solution u will earn something
halafu kuna watu hawako serious kuna siku tulikuwa tumetoa nafasi za kazi zikaja CV unakaa
unajiuliza IS THIS PERSON SERIOUS!!!!!!!!!!!nyie mnaoomba lazi muwe basi serious katika uandikaji
wa CV zenu na hizo cover letter
Interview ilivofika ilikuwa vituko tunajua kiingereza kilikuja kwa meli lakin tujitahidi jamani maana
it is a disaster when it comes to ORAL INTERVIEW maana kuna mtu tulimuuliza why should we hire
you? YESU NA MARIA alivyojibu naomba niishie hapa.unaweza kuwa unalalamika kila siku hupati kazi
kumbe wewe mwenyewe ndio tatizo
nawatakia kila la kheri Ndugu zangu
wahusika wa kichwa cha habari hapo juu.
Salam kwenu.
Naomba tujadiri ni kipi kimetukwamisha kupata ajira hadi leo? Tunaanza mwaka mpya sasa, ebu tujifunze kupitia makosa tuliofanya mwaka 2013. Mimi kwa upande wangu, baadhi ya mambo ninayodhania/amini yaliyosababisha nikashindwa kuitwa interview/kukosa ajira etc ni haya:
1. Kushindwa kuandaa cv na cover letter ya kumshawishi "boss" pindi anaposoma.
2. Nafasi zilizotangazwa za career yangu ni chache sana, hivyo competition ikawa kubwa.
3. Kukosa baadhi ya "email address hai" za makampuni pindi tunapoamua kutuma maombi ata kama nafasi hazijatangazwa. Nyingi tunazozipata za mitandaoni zilishaachwa kutumika.
4. Kukosa fedha za kutuma barua nyingi kwa posta au kupeleka "by hand" hivyo kuamua kutumia njia cheap ya email ambayo kusema kweli sio bora sana maana ni email chache zinamfikia mlengwa.
5. Kukosa work experience kabisa, hivyo makampuni (nadhani) yanatuona kama tutakua mizigo.
6. Kutokua na connection kabisa.
7. .......
Unaweza kuen
nimejitahidi kufupisha
nb: Hayo mambo nayafanyia kazi na nayarekebisha yoote yale yaliochini ya uwezo wangu, ili mwaka 2014 uwe wa mafanikio.