Wale wapenzi wa Simcity buldit pita hapa

Wale wapenzi wa Simcity buldit pita hapa

divino

Member
Joined
Sep 19, 2017
Posts
62
Reaction score
77
Bifansi me sio pro gamer lakini kwa game hili nimetokea kulipenda sana,kutokana na kua na uhalisia wa mambo kama ya kiserikali,mipango mji n.k.
Ni very additive ukilielewa na kulizoea,kwa wale walionalo nafikiri wananielewa.
 

Attachments

  • BkTs_L0IYAAGmq8.jpg
    BkTs_L0IYAAGmq8.jpg
    56.2 KB · Views: 44
Mkuu jaribu game moja inaitwa BADLAND nadhani hiyo game yako utaifuta
 
Back
Top Bottom