Wale wapenzi wa Novel nzuri

Wale wapenzi wa Novel nzuri

Kwa wale wapenzi wa classic novel, Sabrina Jeffries anatisha,hii ni moja ya novel zake kali.
 
Attachments

  • 1422702126638.jpg
    1422702126638.jpg
    13.9 KB · Views: 326
Hivi ni Novel gani kali kabisa uliyowahi kusoma na ni za mwandishi gani? Binafsi naona MASTER OF THE GAME, RAGE OF ANGELS, na THE OTHER SIDE OF MIDNIGHT za Sydney Sheldon ndio kali zaidi. Halafu kuna A MATTER OF HONOUR ya Jeffrey Archer na THE GODFATHER ya Mario Puzo.

Zipi ulzosoma wewe ni kali zaidi?

James Hadley Chase"knock! knock! who is there"
 
mansa kankan musa hizi novel kiukweli tumezisoma nineteens na ulikuwa mtindo wa kuazimana kuzipata sasa hivi nitakudanganya mkuu.
 
Duh! godfather don vito carleone alifanya yake waqt john fontana anataka kucheza picha kisha mkurugenzi jack wortz hataki mafia wakamchinjia farasi wake aitwae KHARTOUM ikabidi awe mpole.
 
Hivi kuna novel ya Puzo ambayo ina chanua stori ya Luca Brasi maana kwenye movie role yake ilikua ndogo sana kabla hajauliwa kwenye ile pub ya Sollozo..bonge moja ya character.
 
Dusty! luca brasi was most trusted enforcer wa mzee carleone sasa ukitaka kumfaidi ni penye kitabu coz filamu huwezi kuweka vitu vyote hivyo ingawa unakuta kuna part 1-4but huwezi kupata mzigo kamili kama kitabu
Mfano kitabu kitamuelezea don toka anazaliwa maisha yake kabla hajawa don kitu kama hicho. So luka katika mob ya vito alikuwa mtu muhimu sana ingawa alikuja tofautiana na michel.
 
Hivi ni Novel gani kali kabisa uliyowahi kusoma na ni za mwandishi gani? Binafsi naona MASTER OF THE GAME, RAGE OF ANGELS, na THE OTHER SIDE OF MIDNIGHT za Sydney Sheldon ndio kali zaidi. Halafu kuna A MATTER OF HONOUR ya Jeffrey Archer na THE GODFATHER ya Mario Puzo.

Zipi ulzosoma wewe ni kali zaidi?

Hatujatofautiana sana kwa upande wa Sidney Sheldon.nimeoma umeorodhesha apo the other side of midnight.tafuta MEMORIES OF MIDNIGHT ni muendelezo wake.
Yani namkubali sana S.Sheldon.na memories of midnight ndo kilinifungulia njia to read more of his books.
 
Kwa kweli hizo novel si mchezo nakumbuka nimezisoma 1996 nikiwa mwanza ila umesahau moja If Tommorrow comes ya Sydney pia

IF TOMORROW COMES sijaisoma mzee. Halafu sikutegemea kuwa ni kali kama hizo ndio maana sikujishughulisha sana kuitafuta. Ninazo zingine kadha kama NOTHING LASTS FOREVER, DOOMSDAY CONSPIRACY, WINDMILLS OF THE GODS, ARE YOU AFRAID OF THE DARK, MORNING NOON AND NIGHT, THE STARS ARE SHINING DOWN ON US na THE NAKED FACE. BLOODLINE na hizo nyingine zilizotoka baada ya kifo chake sijazisoma, e.g. MISTRESS OF THE GAME.
 
Hatujatofautiana sana kwa upande wa Sidney Sheldon.nimeoma umeorodhesha apo the other side of midnight.tafuta MEMORIES OF MIDNIGHT ni muendelezo wake.
Yani namkubali sana S.Sheldon.na memories of midnight ndo kilinifungulia njia to read more of his books.

Hicho ninacho pia. Yaani nina Sheldon zote kasoro Bloodline, The naked face na zilizochapwa baada ya kifo chake.
 
Vulture is patient bird.

Naye huyu jamaa alikuwa anaandika andika sana. Kuna novel zake nzuri sana. mfano, WANT TO STAY ALIVE?, STRICTLY FOR CASH, EVE, I HOLD THE FOUR ACES, THIS IS FOR REAL, COME EASY GO EASY, I WOULD RATHER STAY POOR, YOU NEVER KNOW WITH WOMEN, A COFFIN FROM HONG KONG, THAT IS THE WAY A COOKIE CRUMBLES, ONE BRIGHT SUMMER MORNING, na zinginezo.
 
IF TOMORROW COMES sijaisoma mzee. Halafu sikutegemea kuwa ni kali kama hizo ndio maana sikujishughulisha sana kuitafuta. Ninazo zingine kadha kama NOTHING LASTS FOREVER, DOOMSDAY CONSPIRACY, WINDMILLS OF THE GODS, ARE YOU AFRAID OF THE DARK, MORNING NOON AND NIGHT, THE STARS ARE SHINING DOWN ON US na THE NAKED FACE. BLOODLINE na hizo nyingine zilizotoka baada ya kifo chake sijazisoma, e.g. MISTRESS OF THE GAME.

Wow. Yo guwwwwd.ddaaaaah!kumbe wengi ni walevi wa Sidney. Dah!ila hapo kune Mistress of the game umeniacha.najua ni Master of the game.ama my memory is deceiving me?

Windmill of the gods ya aina yake pia.NEUSA MUNEZ.kibokooo.
 
Back
Top Bottom