Habari wana JF,
Ule unaoitwa mtandao, una kila sampuli ya memba/watu. Wapo kila mahali. Ndio maana wanafanikiwa.
Wamo ndani ya vyama vya siasa vyote, wamo JF, IG, X, Fb, TikTok, threads, n.k. Wapo bongo, wapo diaspora.
Ni kama team ya mpira, kuna goalkeepers, defenders, midfielders, attackers, n.k. Wana 1st eleven, wana substitutions, wana reserve n.k. Wana sajili permanent, Wana sajili kwa mkopo (on laon transfers).
Press ya Lema, ina wasindikizaji, tena wapo wanaoaminika kabisa.
Lema hana impact peke yake, ila zikishaungana hizi team zote, na huku Jf na kule social media, "wanategemea" atapata mileage.
Pona yake Lema na mkakati wao wote, ni Lissu yupo ndani. Angekuwa nje hata dakika tano tu. Mchezo wote wa Lema ungekufa saa kumi na mbili asubuhi.
Huyu niliyemtaja hapa ndie alisema Lissu ataachiwa huru. Mange alisema Lissu atafungwa maisha. Tusubiri tarehe 06, mtaniambia nani ni "mwanamtandao" au nani analishwa matango pori na kitengo.
Kule cdm kuna yule wa mkoa m.eya, kuna byi, kuna mlis.a, kuna dada, kuna pimb.il, kuna ktb, ni wengi sana, huwezi kuwataja wote.
NB: Lema mkumbuke rafiki yako Alphonce Mawazo, halafu rudia hiyo press yako ya leo.