Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,494
Ndo maana tunajiliza uongo wamalize waondoke zao, kisa cha kujipinda na mtu asiye na shukrani!! Hizo nguvu nitaenda panda mahindi nivune mieHahahha! Siku zote hawana jema
Ndo maana tunajiliza uongo wamalize waondoke zao, kisa cha kujipinda na mtu asiye na shukrani!! Hizo nguvu nitaenda panda mahindi nivune mieHahahha! Siku zote hawana jema
Sanaaaunataka ujifunze kuvunja chaga?
Haaaaa duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ishu ya chaga imenikumbusha stori flani kitaa! Kuna mdada alikua analiwa na baba yake kisirisiri... Sa siku hiyo chaga ikavunjika kwa nguvu... Majirani kukimbilia kusaidia wanakuta baba na bintie kwenye purukushani za kuamka. Aibu ilioje!!
STUNTER em naomba unitake radhi aseeMi nikadhani umeshastaafu kumbe bado umo? Duh
Haaahaaa na inaishia na...00Nitakupigia... Namba yako si inaanzia na 0?
Duuh nimecheka kweli hii kitu..Tangu Wanawake wajue kuna Makungwi wa
kufunda hatuhemi, sijui hata wanafundishwa nini
huko... Maana wakitoka kufundwa wanakuja
kufanyia majaribio mafunzo kwa Maboyfriend
sasa,
Mapenzi yanakuwa vita, wanataka kuonyesha
wamefuzu na wewe hujui kitu, unaweza kupata degedege maana hata kama ndo machejo sasa yamezidi, Kitanda chenyewe chaga sio za
Mpodo, hekaheka kama Gea Habibu...Wengine
mmepewa mafunzo ya Certificate mnakuja
kukatika Diploma kwenye Mazoezi, ladha yote
kushnehi...
Hii ni kwako we Mwanamke unayejua Lovemaking ni Hekaheka,tulizana mama kununua chaga kila mwezi Sio poa..!
utamu unazd adhabuSasa hiyo si adhabu
tehe tehe tehe No commentwee pia unavunja chaga?
Kabisa ndugu yangu ambapo mwisho wa siku utauza na kupata faidaNdo maana tunajiliza uongo wamalize waondoke zao, kisa cha kujipinda na mtu asiye na shukrani!! Hizo nguvu nitaenda panda mahindi nivune mie
Khaa! Kama imeshakuwa adhabu huo utamu hauwezi ukawepoutamu unazd adhabu
Hahahaa! Wacha weeeAah hapo ipo si unajua hata gogo likikatwa linajitikisa kidogo