Wale wanawake wanaokwenda kwa Kungwi

Wale wanawake wanaokwenda kwa Kungwi

Hakuna sababu ya kujiliza kiuongo Sakayo huku utamu ukikutupa mkono na kuusikia kwenye hadithi tu, ni lazima uexperience utamu ili ufurahie tendo na utamu husika.

Ndo maana tunajiliza uongo wamalize waondoke zao, kisa cha kujipinda na mtu asiye na shukrani!! Hizo nguvu nitaenda panda mahindi nivune mie
 
uko fisuri bby, will do the needful
Looked away from you to find my piece
Never thought that you could make me better I
could have most to think but now I see You make
my dreams and visions so much clearer You know
that I'll be home the longer way And everybody
say I'm not for you Tonight is me and you against the world Girl, I got you, I got you!
 
Mkuu shusha tandiko kwenye sakafu ili uenjoy machejo ya aliyefuzu kwa kungwi. Mkimaliza tandiko linarudi kitandani na chaga lako limesalimika.

Tangu Wanawake wajue kuna Makungwi wa
kufunda hatuhemi, sijui hata wanafundishwa nini
huko... Maana wakitoka kufundwa wanakuja
kufanyia majaribio mafunzo kwa Maboyfriend
sasa,

Mapenzi yanakuwa vita, wanataka kuonyesha
wamefuzu na wewe hujui kitu, unaweza kupata degedege maana hata kama ndo machejo sasa yamezidi, Kitanda chenyewe chaga sio za
Mpodo, hekaheka kama Gea Habibu...Wengine
mmepewa mafunzo ya Certificate mnakuja
kukatika Diploma kwenye Mazoezi, ladha yote
kushnehi...

Hii ni kwako we Mwanamke unayejua Lovemaking ni Hekaheka,tulizana mama kununua chaga kila mwezi Sio poa..!
 
Ngoja nitaujaribu ushauri wako, ila kuna hatihati ya kukimbiwa kabla hata sijashusha tandiko, manake anaweza hisi labda namdharau kiasi hana hadhi ya kulalia 6*6 yangu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hapana ni bora kuwa mkweli kwanini tandiko linashushwa sakafuni, ila mrembo akigoma kucheza sakafuni hapo huna ujanja. Kama ni wale waliofuzu kwa kungwi chaga ni lazima liingie dosari.

Mission ikikamilika nitaleta mrejesho mkuu
 
Looked away from you to find my piece
Never thought that you could make me better I
could have most to think but now I see You make
my dreams and visions so much clearer You know
that I'll be home the longer way And everybody
say I'm not for you Tonight is me and you against the world Girl, I got you, I got you!
waoooo, that is my man
 
Tangu Wanawake wajue kuna Makungwi wa
kufunda hatuhemi, sijui hata wanafundishwa nini
huko... Maana wakitoka kufundwa wanakuja
kufanyia majaribio mafunzo kwa Maboyfriend
sasa,

Mapenzi yanakuwa vita, wanataka kuonyesha
wamefuzu na wewe hujui kitu, unaweza kupata degedege maana hata kama ndo machejo sasa yamezidi, Kitanda chenyewe chaga sio za
Mpodo, hekaheka kama Gea Habibu...Wengine
mmepewa mafunzo ya Certificate mnakuja
kukatika Diploma kwenye Mazoezi, ladha yote
kushnehi...

Hii ni kwako we Mwanamke unayejua Lovemaking ni Hekaheka,tulizana mama kununua chaga kila mwezi Sio poa..!

Usijiumize kichwa kwa kutaka kubana matumizi.....ukiona noma, mwambie ukweli demu wako tu kuwa unataka ku-du naye porini atakuelewa. Wanawake wengi wanapenda mateso kama haya, ku-du naye jalalani au porini kwani kwao starehe ni majanga.
 
Hakuna sababu ya kujiliza kiuongo Sakayo huku utamu ukikutupa mkono na kuusikia kwenye hadithi tu, ni lazima uexperience utamu ili ufurahie tendo na utamu husika.
Aaaaah, yaani kuna muda inabidi ugune tu ili mwanaharamu apite
 
Back
Top Bottom