_aysher
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 1,131
- 943
Lkn kweli sana inaboaKila kitu kwa kiasi, sasa mambo ya kuvunjiana chaga sio poa
Lkn kweli sana inaboaKila kitu kwa kiasi, sasa mambo ya kuvunjiana chaga sio poa
Hahah mi sio wa mchezo mchezoNajua ww uliendaga kitambo
Na shuhi yako co ya mchezo
Maana mabibi wa zaman kwa
Mfundo walikua hawajambo
Na mimi nitasafiri wallah!Kuna wanawake wanasafiri mpaka mikoani kwaajili ya kutafuta makungwi,
Sina haraka wala papara taratibu mtoto wa kinyamwezi..Bilashaka wewe hauvunji chaga
We waache tu ndo walivoBora mie gogo,sivunjagi chaga za watu.
Wanaume bana ukikatika wanalalamika,ukiwa gogo wanasimanga aisee
Sasa mbona huendi au hutaki kuvunja chagaNdio nasikia kwako
Kumbe wengi huwa wanaenda kwa kungwi siku hizi?
Nipo nyuma sana kitaarifa
Unapiga kavu kavuNi sawa na demu umeshamuandaa amelainika alafu unamwambia akusubiri uende dukani kununua ndomu... Hahaha unaeza ukarudi ukakuta ghetto tupu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Haa haa haaa
Huyo atakua n mzaramo wa over 18
Hawa wanafudwaga wakiwa sc
Teh teh mida ya kazi hii ...unatupandisha nyege
Bora mie gogo,sivunjagi chaga za watu.
Wanaume bana ukikatika wanalalamika,ukiwa gogo wanasimanga aisee
Lol! Hahahahaha hata utamu ukikuzidia hujitikisi tikisi!?
Aah hapo ipo si unajua hata gogo likikatwa linajitikisa kidogo