Wale wanaume mnaopiga wake zenu

Kipigo kwa mke ni udhalilishaji mkubwa sana

Inapunguza upendo kwa mpigwaji kitu ambacho hupelekea mke kuanza kuchepuka na akishaanza hivyo kumrudisha sahau kabisa

Hujenga chuki kichwani kwa mkeo huwa sisi ni wakimya lkn tunatunza sana hasira utamuona anakuchekea na kukusamehe lkn ndani yake ana chuki kali sana hata yale maombi aliyokuwa akikesha kwa ajili yako ktk utafutaji huisha kabisa na hapo mume ategemee kukwama tu huko kazini

Acheni kupiga wake zenu ni vibaya vibaya kuliko
 


sawa sawa
naona matunda ya Joyce kiria yakimea kwa kasi
 
Sahau na samehe. Si mnajua wanawake mmeumbwa kusaheme mama p.

Samehe na sahau.
Hahahahaha. Wewe ni miongoni mwa watu wanaonipa Furaha huku duniani.
Vile unajua kujihami tuu Mimi hoi.
Nakupenda sana baba p.
.
.
Shunie amekuita mahali tangu Jana mbona hauendi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…