Wale wanaotumia TALA

Mkuu nataka nifanye risk,nina hela hiyo ya kurejesha,sasa mimi nataka nirejeshe then waniongeze either 30k au 40k,nifanye kurejesha sio??
Hapana....watakupa 20 hyo hyo....just lipa kwa ratiba ulochagua....!watakuongezea
 
Mimi nilisha haribu kote siyo tala branch Voda Togo majanga nikunganisha madeni yanafika 140,000 nilichelewesha sasa sina vigezo tena
Hivi ukikopa ukutupa na laini ..

Ukachoma na simu ...

Watakupataje. ...

Nataka nwakope mkuu kwa lain 10 tofaut
 
Sasa hivi Ni vigumu maana wamebadilisha utaratibu wa kukopa, unatakiwa ujipige picha & upige picha ukiwa umeshika kitambulisho chako
Hivi ukikopa ukutupa na laini ..

Ukachoma na simu ...

Watakupataje. ...

Nataka nwakope mkuu kwa lain 10 tofaut
 
Sasa hivi Ni vigumu maana wamebadilisha utaratibu wa kukopa, unatakiwa ujipige picha & upige picha ukiwa umeshika kitambulisho chako
Mkuu nataka nilipe deni la 20k ili wanipe 40k je inawezekana instantly,maana nina shida na hiyo hela..nipe experience mkuu
 
kma upp ndan ya mda lipa tu haina shida utapanda mpk 40
 
huwezi kukopa tala na branch kwa the same infomation
Unaweza. Labda kama wameweka kanuni mpya. Mimi niko kote Tala na Branch na nimejiandikisha kwa Information zile zile. Ni sawa tu na kuwa na akaunti tatu kwenye Benki tatu tofauti kwa information zako zile zile. Inawezekana Mkuu
 
Hey guys,naomba kuuliza Kuna office za Tala hapa Tanzania and majengo kabisa ya TALA yapo wapi hapa Tanzania msaada pls kwa anaejua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…