Wale wanaosubiri mkopo

Georgemkali wao

Senior Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
180
Reaction score
118
Gharama za kuomba Mkopo;
Application 30,000
Internet 2000
Passport 5000
Mahakamani 20,000
Ofisi ya Kijiji 10,000
Printing 5000
Bodaboda 2000
Ems 13100
Jumla 87,100
Mkopo 77,100
Apo ndipo Utakapojiuliza kwann Ulichagua kusoma
HAPA KAZI TU[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dahh....
 
Elimu bure mpaka chuo kikuu mkakataa. sasa pokeeni Elimu bure mpaka f4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…