KITWANGAUTAM
Member
- Jan 19, 2013
- 80
- 18
Wanajamvi habari zenu! Kwa wale eanaojua kipimbwe, lugha inayozungumzwa wilaya ya Mpanda sehem iitwayo Mpimbwe atokako Mizengo Pinda. Ninataka kukusanya msamiati wa vyakula vya aina zote vinavyoliwa na wapimbwe. Lengo baadae nitengeneze kamusi ya kipimbwe_kiswhili, lakini kwa msamiati wa vyakula tu. Ninaomba uandikwe msamiati wa chakula husika kisha tafsiri ya Kiswahili. Mfano inswi_samaki. Lengo nipate walau msamiati 700. Nawasilisha.